Mafuta ya Perfect White yanafaa kwa matumizi?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Haya mafuta yanapigiwa promo sana madukani yanafaa kwa matumizi???

Yanachubua au kung'arisha???maana mafuta ya kung'aa au whiten yanapaswa wapake wanawake

Hii perfect white jee???Kuna member humu ashawah kuyasikia?

Update:haya mafuta ni ya kikekike hivi ushauri kwa men wenzangu nunua mafuta yoyote yaloandikwa for "men" au paka ,baby care,vaseline hizi za UK kama mimi

Nimeuliza maana nilichukua mzigo wa dukani kwa jumla kijana wangu wa dukani aliagiza kumbe yalishapigwa marufuku Tfda wamenilima faini kubwa sana hapa biashara inalega lega tu wenye maduka ya vipodozi na dawa mnaelewa haya mafaini yanavyoumiza
 
Haya mafuta yanapigiwa promo sana madukani yanafaa kwa matumizi???

Yanachubua au kung'arisha???maana mafuta ya kung'aa au whiten yanapaswa wapake wanawake

Hii perfect white jee???Kuna member humu ashawah kuyasikia?
Usithubutu mwanaume... Yanachubua tena ni makali sana
 
Ukitaka uichukie ngozi yako paka hayo perfect white.... Mwanzo utaona ni mazur ila ikifika wiki kadhaa utaona chunusi kama majipu usoni yaan in short hiyo lotion ni very dangerous kwa afya ya ngozi
 
Siku nikiona mwanangu wa kiume anataka losheni apake ntampiga had azime kwakweli
Hahaha sio poa. Inategemea na mazingira atakayokuwepo mwanao hauwezi ishi naye nyumbani miaka yote. Halafu sidhani kama lotion zote ni mbaya
 
Hahaha sio poa. Inategemea na mazingira atakayokuwepo mwanao hauwezi ishi naye nyumbani miaka yote. Halafu sidhani kama lotion zote ni mbaya

kuna loshen za kiume inajulikana..ndo utake maperfect whte kwwl...dah..nitakupiga haf ushangae
 
Kuna mada zingine huwa zinanipa ukakasi sana kuchangia mada, hasa pale ninapo linganisha kinacho jadiliwa, na jinsia ya mleta mada...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom