"Perfect Cripsin" mtangazaji mwenye uwezo mdogo aliyepewa nafasi Clouds FM

Kidawa_hiphop

Senior Member
Jul 7, 2018
168
254
Kati ya watangazaji wa Clouds FM waliopewa nafasi na hawajui kutangaza basi huyu ni mmoja wao..anachapia mfano hakuna,hawezi kusoma habari(Tangazo let say)...Anabrag brag tu...

Sio wivu ,ila ukweli lazima usemwe..kiufupi hawezi kutangaza
 
Kabla ya kurudishwa kwake xxl alikua anasimamia kipindi cha pekeyako siku ya jmosi...jamaa yuko vzr ila kwenye kipindi kile alipo hapewi nafasi ya kutosha
 
sema humpendi kwa sababu zako binafsi sio hajui kutangaza
 
Kabla ya kurudishwa kwake xxl alikua anasimamia kipindi cha pekeyako siku ya jmosi...jamaa yuko vzr ila kwenye kipindi kile alipo hapewi nafasi ya kutosha
Kile kipindi kilikua kinaitwa Klabu10 na....Saiv anapindi linaitwa On point kila jumapili saa10 hadi 12
 
Perfecto aka Mnyama mkali mzee wa 255,mzee wa kuchekecha kama upepo vile,,anasemaga kila siku kwenye 2 gwala gwala kua yeye ndo presenter mkali wa entertainment kuliko wote,,,By the way contribution yangu hapa ni kwamba Perfecto bado ni mzito mdomoni na anapenda kujiamini kupitiliza awapo nyuma ya kipaza,Na kingine kinachomwangusha kwenye segment ya 255 Content kila siku ni za kawaida sana,utaskia"Mbali na Kuwa msanii je jux,Darasa,Moni anakipaji gani kingine?"pia kila msanii akija kwenye interview XXL lazima kesho ake asikike kwenye 255 yaani waga hadi na'predect story zake daah!!Mnyama mkaliiiiiiiii buanah,,!
 
Tokea mwaka jana ndo yeye anafanya on point..utasemaje yupo kwa muda??
Doooh hana chake tena chaliangu akati pindi alilichora mwenyewe nakumbuka siku lina'introduziwa Dr.Isaac Maro aliizungumzia kidogo pindi anamalizia njia panda.
 
Kuna kipindi pia 255 alipewa Kennedy na alitisha mbaya..juzi kati hapa ndo wakamrudisha..

Back
Top Bottom