Pepsi Tanzania yaanzisha Fridge inayojiendesha yenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pepsi Tanzania yaanzisha Fridge inayojiendesha yenyewe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Apr 12, 2009.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Wiki iliyopita nilitembelea mgahawa wa Steers Millenium Towers hapa Dar na kukuta Fridge kubwa ya Pepsi inayojiendesha yenyewe yaani Vending Machine Definition yake...A vending machine provides various snacks, beverages, and other products to consumers. The idea is to vend products without a cashier. Items sold via vending machines vary by country and region. Nilifurahishwa sana kuiona huduma hiyo ya kwanza ya aina yake hapa Tanzania lakini nilijikuta napigwa na butwaa baada ya kukuta kuwa bidhaa hiyo inayouzwa kwa Sh.1500 unatakiwa uwe na kiasi hicho yaani inapokea sarafu za 100 na 200 au Noti ya 500 au 1500 tu kama huna chaliiii:(:(:(... haupati huduma... ukitoa kasoro hizo sii vibaya PSI na wadau wengine wakaanzisha huduma hizo kama kuuza Condom:):):) KY Jelly:):):):) etc kwa kutumia machine hizo kwani wengi huona aibu kununua Ndomu ktk maduka... nk...
   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Tulinzia na ATM, sasa vending machines... good progress!! ila sijui tatizo la foleni ndefu za magari litapatiwa vipi ufumbuzi... hivi wazo la flyovers limefika wapi Dar?
   
 3. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  :confused::confused::confused:
   
 4. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unafikiria vizuri, lakini nadhani inabidi tuwe na definition ya flyovers, Plan iliyokuwepo iliuzwa kwa jina la flyovers lakini ukweli ilikuwa ni interchange not flyovers. Hivyo ambacho kingefanyika ni transfer of queue.
   
 5. K

  Kilambi Member

  #5
  Apr 14, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  SHkamoo nzee!! condom siku hizi watu hawaoni aibu kwenda kununua, ila ky! mh mhhh!!!!mende
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  tena kwa sisi ma- handsome ukinunua KY wanajua si riziki
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nataka kubadili uraia..
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tusker Bariiiidi

  Usione sooo ukauza mechi eti uliona aibu kukunua ndom kwenye duka analouza mama mzee zee...
   
Loading...