Pepsi huwa inaondoa hang over za pombe licha ya hivyo kukosekana kwa kinywaji hicho kibiashara inawaathiri wafanyabiashara wengi bar, migahawa maduka rejareja etcKunywa maji tu mkuu au juyce ya kutengeneza achana na hizo chemical
Achana nayo kitu mirindaKinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Unapigania haki ya kunywa kemikali.Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ungeniambia matunda yanapotea sokoni walah tungefanya dua la kitaifa.
Sio pepsi tu, ni soda zote na juice zote za viwandani kwa ujumla, sio rafiki wa afya zetu.Pepsi ziende tu maana zimeharibu maisha ya wengi kiafya
TakbiiirKinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Huku zipo nyingi tu mbona?Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Vipi Ngono zembe?Sio pepsi tu, ni soda zote na juice zote za viwandani kwa ujumla, sio rafiki wa afya zetu.
Yaani sikukuu na Pepsi? Ndo hatua zichukuliwe haraka? Hiyo ni biashara ya mtu atajijuaKinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
WNATUTAFUTIA AINA MPYA YA KUTUUWA..Pepsi zimeadimika sehemu kubwa nchini.
Wametuletea ma pepsi big zero sijui ya nini wakati hayana sukari yamejaza gesi tu ikiisha soda mbovu balaa
Sasa mwenzetu hapa anapambania haki yake ya kikatiba ya kunywa pepsiSio pepsi tu, ni soda zote na juice zote za viwandani kwa ujumla, sio rafiki wa afya zetu.