Elections 2010 Peoples power yaangusha ufisadi na mafisadi

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
kuanguka kwa waziri masha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na mbunge jimbo la nyamagana na waziri wa siku nyingi mhe anthony diallo na mbunge wa jimbo la ilemela licha ya mikakati mizito iliyokuwa imeandaliwa na mafisadi kuwaokoa ni uthibitisho kuwa people's power inao uwezo wa kuushinda ufisadi hapa nchini.

Moja ya mikakati ya ufisadi na mafisadi ilikuwa ni maagizo ya msimamizi wa uchaguzi wa majimbo hayo ndg wilson kabwe kwenda kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa majimbo ya nyamagana na ilemela kuwahujumu wapinzani kupitia barua yake ya tarehe 18/10/2010 kama ilivyoambatanishwa hapa chini
 
Ndo maana wakayaruhusu hayo majimbo ya ilemela na nyamagana kwenda upinzani wanajua iyo barua watu wanayo
 
Back
Top Bottom