Moscow
Member
- Nov 24, 2013
- 51
- 33
Wafugaji wa kimasai katika wilaya ya Kilindi Tanga, wameigomea serikali kutozwa Tsh.2000 kwa kila ngombe ili kujenga mahabara. Wananchi hao wamegoma wakisema kwamba, serikali ya CCM ni ya kifisadi na haiaminiki kukusanya fedha. Bora wajenge mahabara yao kuliko kitegemea serikali ya CCM
M Take: Naona wananchi wameanza kuamka
Source ITV 8pm
M Take: Naona wananchi wameanza kuamka
Source ITV 8pm