People naombeni msaada wenu wakunisaidia kuunlock cmu yangu nokia 5230!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

People naombeni msaada wenu wakunisaidia kuunlock cmu yangu nokia 5230!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Apr 3, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  wajameni naombeni sana msaada wenu cmu yangu nimeletewa toka UK so iko locked na mtadao uliyokuwa unatumiwa kwny cmu hii kwa bahati mbaya cwezi sema ni mtandao gani uliolokiwa lakini naweza wapa imei yake na labda mnaweza kunisaidia unlocking code au wapi ninaweza kuzipata kwa bure maana nimechk kote na kupata code za kuunlock za uhakika ni lizama ununue soo kama kuna mtu yoyote anayeweza kunisadia hilo nita taanguliza shukurani cmu yenyewe ni;-
  Nokia 5230 Xpress Music
  na IMEI yake ni:351988044783638
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Kesho asubuhi sana iwahishe sapna pale pota tatizo lako ni ladk kumi tu! Usipende kuweka IMEI hadharani watalaamu tunaweza kuitrack simu yako
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Au call no 0788865544 nitakusaidia
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Pouwa mwana nimekupata lakini sjakupata apo kwny bei ladk kumi ndo unamaanisha nn?
   
 5. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  wajameni wajameni bado naombeni msaada wenu wa hzo software na sasa nishajua cmu imelockiwa na mtandao gani ni wa the three uk naombeni sana msaada wenu
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kiswahili mureeeeeeeeeeefu, simu ya wizi hiyo huna lolote.
   
Loading...