people be careful with politics

Hardman

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
674
395
huu ni ushauri wa bure,siasa ni mchezo ambao hautabiliki na hii ni kutokana na sababu ya kuwa inapelekea kwenye kutafuta madaraka,kwa wale ambao wanaamini mungu watakubaliana nami kuwa hakuna ufalme wa milele ila kwa mungu pekee,but for the long time i have seen people fighting,wanatukanana,wanazushiana mambo ilimradi wapate cheo,lkn embu jaribu kufikiri hayo madaraka unayoyalilia yatakufikisha wapi,ndio unataka kusidia watu lkn kama watu hawataki huo msaada wako tulia fanya mambo mengine,to be continued
 
Sorry sir, you are NOT as crystal-clear enough both in your thinking and expression though a message seems to be peeping on in there inyour good text.
 
haya kama mawazo ya mchungaji fulani vile ambae hajui nini tofauti ya utawala na dini.yeye anadai nchi lazima iongozwe na mchungaji ili aokoe watu wote kasahau nchi haina dini na sii kila mtu ni mkristo sijui ndio kulewa neno au hajui neno.
 
Back
Top Bottom