Penzi la wizi katika tamthilia ya Wabrazili na mauaji ya kutisha…!

mapenzi ni asali na kisha ni subiri ikifikia subiri ni watu kujiua, kunywa sumu, kulogana, kupigana, na hata kuuana.maskini jasmin Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
 
Mi husumbuliwa na wivu mkali lakini si kiasi hiki aisee... Wivu wa namna hii toka kwa mpenzi wako ni hatari sana kwa mahusiano mtu ambaye anataka kila wakti awe beneti ni upofu wa hali ya juu sana unadhani mpenzi wako aweza kuwa sehemu na pahala pote wewe uwapo kana kwamba ni bidhaa ya dukani.

Watani zangu huamini wivu ni dalili ya upendo. Ni funzo kwetu na wasanii wote zaidi sana yatupasa kujitambua na kujikubali pale tunapoona kuwa tumevuka mpaka wa upendo na kutumia busara au hekima ili kuudhibiti wivu mkali unapokuwa umekupanda akilini na rohoni.
 
Back
Top Bottom