Penzi la mtandaoni

Aug 14, 2013
64
20
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.
 

Attachments

  • P15-11-13_16.51.jpg
    P15-11-13_16.51.jpg
    153.4 KB · Views: 1,159
Weka CV yako kwa ufupi maana picha pekee haitoshi. Pia useme walau kidogo kuhusu aina ya mtu umtakae,watajitokeza mbona wapo kibao tu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mhh username yako inatisha,badilisha kwanza,thn weka detailed cv including latest salary slip....haha
 
mkuu weka picha nyingine, safari hii piga pembeni ya gari & haijarishi kama ni la jirani & shika atm card kadhaa mkono wa kushoto wa kulia noti nyekundu kadhaa. Utawapata tu.


(Usisahau kutabasamu )
hata angepiga na majengo pacha ya BOT kwa hayo mapokezi mmmh ! wengine tunapenda mahb bana
 
Smile unakainterest nin best maana unavomchambua kwa umakini!
 
Last edited by a moderator:
Hawapatikanagi kabisa, we bora uendelee tu kumuendesha shetani Mr Devil's Driver.

Hebu tupe updates boss wako anakusudia nini kuhusu uchaguzi ujao TZ? ee bwana eeh! usikute bosi nae yupo hapa JF eeh, ila alivyo kilaza na mjinga hatashtuka hata ukitupia hata hizo nyepesi apa. Akizingua mwambie bado siku zake zinahesabika.

Pokea shukrani zetu.
Siku nyingi sana huwa nnatamani sana kupata mpenzi mwenye penzi la kweli kupitia mtandaoni,lkn cjawahi kupata!! Nifanyeje? Km yupo,namhitaji sana,lkn asiwe mpenda raha. Mi nataka wa kuniliwaza kwa penzi la dhati na si kwenda club.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom