Penzi la mauti, Mlinzi wa waziri Matiang'i ampiga risasi saba mkewe kisha kujiua

Mac Bully 001

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
6,555
2,000
Mlinzi wa waziri Matiang'i amuuwa mkewe kisha akajiua.

Hudson Wakise alimpiga risasi Pauline Wakasa walipotofautiana.

Wakise ni afisa wa kitengo cha GSU naye Wakasa ni wa trafiki.Emotions run high after Interior CS Fred Matiang'i body guard commits Homicide - Suicide.

Interior CS Fred Matiang'i body guard was a GSU Officer, while his wife a Traffic officer.

On 06/04 /2021 he shoot his wife, a traffic Officer attached to Kilimani area dead before turning the gun on himself.

The incident happened on Ruaraka area in a murder suicide incident.

Witnesses said Wakise arrived home at about 9 pm and found his wife taking supper and an argument over her decision to move out of the camp arose.

He then left and went out before walking back and shot the woman in the chest eight times.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom