Penzi la house girl halijawahi kumwacha mtu salama

Lugha ya kiingereza haijawahi mwacha mtu salama.

Ila nakushauri umuoe umpangishie nyumba wilaya au mkoa mwingine na utoe huduma zote tofaut na hapo!! Anza kumwandikia mkeo taraka.
 
Hii haina tofauti na jirani yetu wife kaenda masomoni jamaa anajipigia sasa hv bint ana mimba ya miezi mitano jamaa sa zingine anafua ,anafanya kazi za nyumbani housegirl kalala, naona kaleta bint mwingine kufanya kazi ,ila kiukweli yule house girl amebinuka asa si mchezo vijana wa mtaani wanakujaga wanazuga wanaomba kukatia fens kumbe wanazengea kah ni mtoto mdogo ila ukiangalia uko nyuma saaa nimekaa nawaza huyo mke wake akirudi masomoni itakuwaje ,japo nasikia kamwambia wife bint kajazwa kwahiyo namrudisha kwao
 
Chukua mzinifu mwenzio muishi pamoja! Unataka kiumbe chako tumboni mwa mzinifu mwenzio nani akulelee? Leo mtoto wako.
 
Wakuu
Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya!

Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa
Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu

Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal

Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja
siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu!
Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua!
Tatizo watu mnakula bonus msizostahili. Vitu kama hivi vinaliwa na watu wazima wenye watoto wakubwa kama huyo housegirl au zaidi. Katika makamo kama hayo utakuta hata mama mwenye nyumba ameshaingia katika ule umri mkavu wa kupungukiwa hamu, mnaishi naye kwa mazoea na kusimuliana memories of the good old days, mnaangalia movies hadi night kali unambusu kwa upendo anaridhika mnalala. Hapo ndio unakuwa na haki ya kula bonus, lakini heshimu sheria ya kula na kipofu!
Kama huna mtoto mkubwa wa kiume humo ndani, hakikisha kabisa huyo binti hapati mimba. Kama kijana mkubwa yupo, wewe kula bonus. Likitokea, unamfundisha binti amtegeshee kijana wako. Kijana akionja tu, kwisha! Next move ni kumfumania, tena choresha fumanizi lifanywe na mamake. Baada ya mwezi au miwili binti akitoa tangazo utaona jinsi mamaa atakavyozipokea taarifa za kutarajia mjukuu. Mwanao utamlea hapohapo ndani kwako bila presha!
Kama bado una ndoa changa (huna mtoto wa kiume wa kumsingizia mjukuu) usile hizi bonus, si haki yako hata kidogo!
 
Mkuu haya mambo kama yajakukuta huwezi jua tabu za kuishi na beki tatu warembo!

Bt sawa muhimu ni kuacha kabisa sio kula na kipofu
 
Pamoja na kumuogopa wife, ukae ukijua hakuna viumbe wanaotisha kwa kudaka mimba kama ma housegirl.... Sijui ni kwa sababu ya kufanya kwa kuibia, ila kuwa mwangalifu unamdhalilisha mkeo.
 
FISI NI FISI TUU MAKU WEWE MAISHA YAKO YOTE YATAISHIA IVO. KWANI MKEO SI ANA MAKU KAMA HIYO YA HOUSE GIRL AU?
Usimlaumu huo mtego,na mimi utanipata muda si mrefu.si kwa mitego hii ya mtoto wa kitanga,wana kuaga wabaya lakini watamu ajabu.
 
Wakuu
Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya!

Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa
Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu

Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal

Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja
siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu!
Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua!

Hv unajua kua iringa ni ya pili kitaifa baada ya njombe kwa maambukizi ya ukimwi!?kabisaa ukajitoa fahamu na kwenda pure leather!?

Pole sana.
 
Wakuu
Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya!

Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa
Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu

Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal

Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja
siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu!
Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua!
Mkuu mtafute nabii Tito coz wewe unachofanya ni utekelezaji wa mafundisho yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom