"Penye Ukweli ...." Itupieni neno picha hii

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Wataalamu wa kusoma picha, hii ilikuwa Bungeni jana tarehe 17/06/2013 ggg.jpg
 
It is real and obvious that whatever was planned did produce unexpected reaction that is beyond their ability. I repeat GOD gonna punish the culprits immediately. Whatever evil we do God watches closely and has workable means in place.
 
Ni kana kwamba wanasema "mission accomplished" hela tutazilamba wenyewe, tumeshawauzia kesi kwenye gunia...watajiju
 
~Nchimbi anachekelea,Mwigulu hatalala usiku mungu atamlipa hapa hapa duniani,Lukuvi boya tuu ni tarishi anatumiwa tuu
 
Dah maneno elfu moja kulingana na picha hii na inaeleza mengi ambayo huwezi kuyaongea hapa maana unaweza kupata ban
Ila jamaa anarudisha taarifa ya kazi yake
umeona mkuu, acha ban bali kung'olewa kucha
 
umeona mkuu, acha ban bali kung'olewa kucha
omujubi wengine tunadanganywa na taarifa za kusomwa kumbe watu wameshakutana kupeana mrejesho na ndo maana jamaa yuko kimya hata haongei kilichotokea Arusha wakati alikuwa hapa mpaka siku ya mwisho ya campaign
Na sasa wanachokifanya ni kushift blame tuu wala sio kutafuta suluhisho na mwisho wa siku itakuwa kama tukio la Olasiti kanisani anakamatwa mtu mmoja wanambambikia kesi na issue imeisha
 
Last edited by a moderator:
Mirror Mirror on the wall........

Mirror mirror lie to me
Show me what I wanna see
Mirror mirror lie to me

Why don't I like the girl I see
The one who's standing right in front of me
Why don't I think before I speak
I should have listened to that voice inside me
I must be stupid, must be crazy, must be out of my mind
To say the kind of things I said last night

Mirror mirror hanging on the wall
You don't have to tell me who's the biggest fool of all
Mirror mirror I wish you could lie to me
And bring my baby back, bring my baby back to me

Mirror mirror lie to me
Show me what I wanna see
Mirror mirror lie to me
Show me what I wanna see

Why did I let you walk away
When all I had to do was say I'm sorry
I let my pride get in the way
And in the heat of the moment I was to blame
I must be stupid, must be crazy, must be out of my mind
Now in the cold light of the day I realize

Mirror mirror hanging on the wall
You don't have to tell me who's the biggest fool of all
Mirror mirror I wish you could lie to me
And bring my baby back, bring my baby back to me

If only wishes could be dreams
And all my dreams could come true
There would be two of us standing here in front of you
If you could show me that someone that I used to be
Bring back my baby, my baby to me

Mirror mirror hanging on the wall
You don't have to tell me who's the biggest fool of all
Mirror mirror I wish you could lie to me
And bring my baby back, bring my baby back to me

Mirror mirror hanging on the wall
You don't have to tell me who's the biggest fool of all
Mirror mirror I wish you could lie to me
And bring my baby back, bring my baby back to me

Mirror mirror lie to me
Show me what I wanna see
Mirror mirror lie to me
Mirror mirror lie to me
Show me what I wanna see
Mirror mirror lie to me
 
Yani nchi yetu imekuwa nchi ya vichekesho katika mambo yanayomuumiza mwananchi wa kawaida. Anzia mabilioni ya EPA, pitia Dowans, sasa mfululizo wa mashambulio ya mabomu watu wamepoteza maisha lakini serikali inachukulia mzaha mzaha tu watu wa ajabu ajabu wanabambikiwa kesi baada ya hapo wanaachiliwa huru. Siku ya malipizi yao watajiju hoa wanaotukaanga sasa.
 
Mpango umesukwa vizuri ukasukika, wewe jiandae kusoma hotuba kuelezea kilichotokea feki, halafu huyu atatangaza bingo kubwa ili kufunika kombe mwanaharamu apite, hahahahahaha unajua hakuna atakayezipata hizo hela ndiyo maana tumezitangaza.
 
na kauli zilizotolewa na watu tofauti zi wazi kuwa hii picha ina chembe za mashaka, ndio maana juhudi zinafanyika kufanya diversion ya mawazo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom