Pentagon seeks Iraq permission to deploy Missile Defences

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Screenshot_20200131-105251.jpeg
Screenshot_20200131-105327.jpeg
Screenshot_20200131-105346.jpeg
Screenshot_20200131-105432.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavitu yana chaguwa pakupiga kwenzi!!
Bado wakadai ni kofi tu kuna watu wana maudhi sana aisee
IMG_20200108_185119.jpg

Wazee waka chutama wakatulia tuli wakasema 'all is well!
Ata kama ni wewe ungesemaje!?
Mavitu yenyewe yana tokea kwenye mahandaki!!
Wakati yana tua Iraq mifumo ya Saudia ya ulizi ikapigwa chini screen zikiambatana na msg za ole wenu wehu nyie tutapiga sehemu A,B,c !! Funguweni anga lenu ndege za Marekani zitumie muone hazitarudi na nyie......
 
Mpango wa baadae wa kuwauzia Iraq hizi system ili kulinda maeneo potential,ikiwemo green zone.time will tell,,,,,hawa jamaa ni wajasiriamali.Saudi ilikuwa hivyo hivyo ili wasaini mkataba,na kuna uwezekano kuna vikundi vinatumika kurusha makombora hapo iraq
 
oho kmbe vikundi sio yale yalotoka IRAN
Mpango wa baadae wa kuwauzia Iraq hizi system ili kulinda maeneo potential,ikiwemo green zone.time will tell,,,,,hawa jamaa ni wajasiriamali.Saudi ilikuwa hivyo hivyo ili wasaini mkataba,na kuna uwezekano kuna vikundi vinatumika kurusha makombora hapo iraq
IRAQ Kweli wanataka Kununua Ulinzi Wa ANGA Ila Washasema Kama wanataka Wamfate RUSSIA Awape S300 US Anaenda Kupoteza Ushawishi wake kwa wana mashariki yakati Haraka Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom