Pentagon: Russia's S-400 Air Defense in Syria Forces US to Ground Warplanes

Na leo mrusi kawatandika sawasawa waasi na kuua kiongozi wao jaash al.islaam pamoja viongozi waandmizi kazaa walipokuwa kwenye kikao cha siri
 
America wana Lockheed Martin F 35 joint strike force..ipo capable kudeal na S 400..Czan kama USA wanahaha na hao warusi

Not true Sir. Neither F-35 nor F-22 are up to snuff. Sijui unapata wapi taarifa zako. Haya madude yamekwishavishwa Electronic Warfare Countermeasures zinazoweza kupiku kinga ya hizo ndege. Hizi ndege ni dhaifu kiasi cha kuelekea kuacha kuendelea kuzitengeneza.

Jamani tusiombe NATO na Urusi kupigana, sisi sote tutaangamia. Sijui kwa nini watu wanashabikia haya mambo?
 
America wana Lockheed Martin F 35 joint strike force..ipo capable kudeal na S 400..Czan kama USA wanahaha na hao warusi

hakuna ndege duniani yenye uwezo wa ku operate mbele ya S 400 hata hiyo F 22 raptor ya marekani haidhubutu na hata SU 34 na 35 za Urusi hazina ubabe huo mbele ya S 400.

Ingekuwa S 300 ningekuelewa kuna ndege chache kama hizi zinaweza kuoperate lakini bado katika high risk kwa kuwa bado hata s 300 inaweza kuangusha hizo ndege
 
Source please.
 
Anarusha lakini wanapeana taarifa.

Sio kupeana taarifa tu.... Ndege za Russia sasaivi mturuki na washirika wake hawathubutu kuzigusa km walivyojaribu. Na imewalazimu USA na wapambe wake kutoa taarifa kwa Russia kabla ya kufanya mashambulizi ndani ya Syria!
 
America wana Lockheed Martin F 35 joint strike force..ipo capable kudeal na S 400..Czan kama USA wanahaha na hao warusi

Mkuu hapa chini nimekuwekea specifications za S-400 angalia kama F-35 JSF nayo hipo kwenye list ya victim wa formidable S-400 (AAMS). Hakuna nchi ya magharibi hata moja inayo puuzia uwezo mkubwa wa S-400 - inafagia kila kitu kirukacho angani hata kikiwa na udogo wa saizi ya mpira wa miguu!!

1028361065.png
 
Sio kupeana taarifa tu.... Ndege za Russia sasaivi mturuki na washirika wake hawathubutu kuzigusa km walivyojaribu. Na imewalazimu USA na wapambe wake kutoa taarifa kwa Russia kabla ya kufanya mashambulizi ndani ya Syria!

Nilikuwa na maana hiyo hiyo mkuu lakini sikutaka kusema mengi.
 
Mkuu hapa chini nimekuwekea specifications za S-400 angalia kama F-35 JSF nayo hipo kwenye list ya victim wa formidable S-400 (AAMS). Hakuna nchi ya magharibi hata moja inayo puuzia uwezo mkubwa wa S-400 - inafagia kila kitu kirukacho angani hata kikiwa na udogo wa saizi ya mpira wa miguu!!

1028361065.png

Acha uongo, air defense systems zote duniani lengo lake ni kutungua chochote angani, hakuna system iliyoweza kufanikiwa azma hiyo 100 percent, kwa nn?

Jibu ni kwamba, ndege za kisasa zinawekewa unique capabilities electronic radar evation.systems za kuichanganya any defense system including s_400

Pili, s 400 ,haijawahi kujaribiwa kwenye vita, inakuja uwanja wa vita kwa mara ya kwanza, utasifiaje performance yake bila uzoefu wowote nyuma?

Tatu, Israel imefanya shambulio la anga na kumuua kamanda wa Hezbollah samir kantar ndani ya jengo Damascus Syria, hii s_400 ilikua wapi? Ilishindwaje kuidungua ndege ya Israel tena F 15?

Nne, russia na marekani walikubaliana siku nyingi kabla hata uturuki kuipiga ndege ya russia kuwa marubani wao wawe wanashirikiana angani kwa kupeana taarifa ili kuepusha kushambuliana kwa bahati mbaya, na utaratibu huo unafuatwa na wote hadi sasa,
Ni uongo mweupe kusema marekani imeanza kuiomba russia kabla ya kurusha ndege, acheni ushabiki,

Tano, marekani na Israel zilishaifanyia majaribio hiyo s_400 mwaka 2013 baharini kwa kushirikiana na greek nchi pekee iliyokua imenunua system hiyo, that system is penetratable

Sita, ni ukweli kuwa s_400 ni system ya kisasa, lakini kama zilivyo zingine haiwezi kukosa loopholes, na system hii haijawahi kukutana uso kwa uso na ndege mbali mbali zenye uwezo tofauti na kuzishinda, kilichopo ni mapambo tu kutoka kwa watengenezaji,
Wanunuaji wa silaha wanataka system iliyojaribiwa vitani

Mfano Israel ilitengeneza iron dome misile defense system ya masafa mafupi na ya.kati na kuijaribu kwenye vita na hamas
Baada ya vita system hiyo ilipata wateja wengi sana duniani maana ili perform beyond expectation, ilipangua ,90% ya maroketi na makombora kutoka gaza

S_400 haijapata wateja sana maana haijajaribiwa vitani, hata sasa haitatumika, warusi na wamarekani walishakubaliana siku nyingi kushirikiana angani kabla hata S_400 haijaletwa syria, maana wote lengo lao ni ku bomb daesh isil,

Mwisho, elewa kuwa marekani na urusi ndani ya syria hawapeani taarifa za targets bali wanapeana taarifa kuwa ndege ya fulani ipo mahala fulani, umbali fulani, njia fulani, wanaoneshana alama na ishara angani kuepusha kugongana na ajali za kijeshi ila kamwe hawaoneshani targets

Watoto wa jf hamna lolote mnalojua kuhusu mambo.ya kijeshi, mnabwabwaja kishabiki, hata kama hatuipendi marekani na washirika wake lakini hatupaswi kusema uongo na kutunga vitu
 
Wamarekani waliijaribu s300 sio s400 na kuhusu Israel kushambulia lengo la russia kuleta ile system ni kwaajili ya kulinda kambi yao na ndege zake sio kwaajili kupiga ndege za marekani wala Israel
 
Sio Russia kulinda ndege zake tu na kambi zao bali yoyote Yule atakae gusa au kuhujumu harakati za kijeshi ndani ya Syria za Russia atapigwa mpk ndani ya nchi yake km ni Tel Aviv au Ankara.

NATO na Turkey km vidume washushe tena ndege ya Russia waone cha moto.
 
Wamarekani waliijaribu s300 sio s400 na kuhusu Israel kushambulia lengo la russia kuleta ile system ni kwaajili ya kulinda kambi yao na ndege zake sio kwaajili kupiga ndege za marekani wala Israel

Walijaribu s_300 mwaka 2012 na 2013 wakaijaribu s_400 kama utakumbuka russia ililaani vikali hatua ya greek kuruhusu marekani na Israel kuifanyia majaribio.system hiyo

nilikua napingana na wapotoshaji wanaosema sasa hivi marekani inaomba ruhusa kwa russia kurusha ndege ndani ya syria kwa kuogopa s_400 kitu ambacho si kweli,

Ukitaka kupata taarifa za kweli kuhusu huu mgogoro walau tazama aljazeera, Russia today, bbc, walau hizi zinafuata weledi
Ziko tv ndani ya marekani na.urusi ambazo ni very royal kwa tawala zao hivyo muda wote ni kusifia tu na kupamba

mfano niliona uchambuzi aljazeera walileta mchambuzi wa kirusi, mmalekani na muisrael ambao ni wanajeshi wastaaf waliichambua vilivyo s_400 kwa kina, nguvu yake udhaifu wake etc kwa kweli nilielimika sana, lakini hapa jf vijana wanakuja na habari za vijiweni kusifu upande flani bila data au data za kupika
 
Nimekuelewa mkuu actual hakuna system ambayo ni unpenetratable 100% system zote duniani ukichunguza lazima ukute weaknesses ata kama ni ndogo sababu zinatengenezwa na binadamu na akili ya binadamu haina limit na ndio maana mpaka leo warusi wanatengeneza generation ya hiyo system leo hii wanawork on developing s500 ambayo kwa vyovyote it a Kuwait ni better than s400 that means wanacover weaknesses za s400 kwenye s500 lakini linapokuja swala la ulinzi wa anga kwa nchi kama Russia na US hawategemei air defence system pekee also wana jets fighters na ndio maana kila siku wanadevelop new stealth fighters zenye kila aina ya system ya kujilinda so haitakaa itokee vita ya NATO na Russia si marekani wala Europe wanaitaka sababu ikitokea Europe ndio itaathirika zaidi na itarudi kuwa masikini sababu nchi za ulaya ziko karibu sana na Russia alafu ni ndogo geographically inamaana Russia akipiga nuclear sita kwa kiwango cha chini ni zaidi ya mauaji ya kimbari ata kama pia Europe wana nuclear Russia walishajiandaaga na nuclear war tangu enzi za cold war kwa kujenga miji ya chini ya ardhi alafu geographically Russia ni kubwa so hapo utaona hiyo vita haiwezi tokea
 
NATO na Turkey km vidume washushe tena ndege ya Russia waone cha moto.

Hahaaaa pro-Babu Putin mnahaha kweli.

Hakuna mtu anayetaka kushusha videge vya Babu Putin bila sababu.

Kile kilichotunguliwa na F-16s kiliingia kwenye anga za watu.

Sasa kama Babu Putin ana ubavu si aendelee tu kuingia kwenye anga za watu bila rukhsa halafu aone.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:.
 
Mkuu kitu cha kwanza hapa hatuleti mambo ya kutunga, kitu kingine ujaribu kutumia lugha yenye staha - usifikiri hatuna uwezo wa kuwa very RUDE, hapa tunabadirishana mawazo na kuelimishana - we can agree 2 disagree

Source: By BRYAN US.

[/INDENT]

[/COLOR][/LEFT]
I am so sorry kama ulielewa kuwa nimetumia lugha isiyo ya staha. All I wanted was source of your information.Tunaeleweshana tu hapa Kama ulivyosema. Ahsante.
 
Watoto wa jf hamna lolote mnalojua kuhusu mambo.ya kijeshi, mnabwabwaja kishabiki, hata kama hatuipendi marekani na washirika wake lakini hatupaswi kusema uongo na kutunga vitu
Maelezo yako mazuri Na balanced.
 
Tatu, Israel imefanya shambulio la anga na kumuua kamanda wa Hezbollah samir kantar ndani ya jengo Damascus Syria, hii s_400 ilikua wapi? Ilishindwaje kuidungua ndege ya Israel tena F 15?

Hilo swali hata mimi nimewauliza hao pro-Babu Putin lakini wameliepa.

Acha waendelee kujifariji na hivyo vi article vyao.

Ndo walichobakiza baada ya kidege cha Putin kutunguliwa na F-16s za Uturuki.
 
Back
Top Bottom