Pentagon: Russia's S-400 Air Defense in Syria Forces US to Ground Warplanes

Bukyanandi hakuna mtu anakataa uwezo S-400 lakini msituambie haipitiki or is like iron dome Fulani,kwanza niliwahi kumsikia one General akisema dawa ya good defence system is overwhelm with cheap cruise missiles kabla hujailipua yenyewe,imagine 100 cruise missiles per minute targeting your system utashusha ngapi na ngapi zitakulipua? is more theory na wala sina uhakika lakini it does make sense
 
Du!! Waswahili walisema kweli kuwa nyani haoni kundule. Angalao mwenzako kakupa data. Wewe je? F-22 ni ndege pekee ya fifth generation ambayo ipo operation ulimwenguni kwa sasa!!

We kweli kihiyo. Fact ipi hapo?? Wapi Source ya Mmarekani kuingia kwenye anga ya Mrusi?? Hii inahitaji logic tu, Marekani na sharubu zake hawezi kuingia bila ruhusa kwa anga ya Mrusi n vice versa.
 
We kweli kihiyo. Fact ipi hapo?? Wapi Source ya Mmarekani kuingia kwenye anga ya Mrusi?? Hii inahitaji logic tu, Marekani na sharubu zake hawezi kuingia bila ruhusa kwa anga ya Mrusi n vice versa.

Babu Putin anaweza kupeleka videge vyake kwenye anga ya USA?
 
Huu wangu sio ushabiki kwa sababu haya ni mambo ya hatari sana.

Urusi wamejibu vizuri sana:
  • Wamewawekea pingamizi Uturuki kibiashara na uchumi wa Uturuki sasa unayumba (tafuta muda usome walichofanya na matokeo yake. Usikilize CNN tu utapitwa na mengi)
  • Wamevunja uhusiano wa kibalozi na Uturuki (very serious)
  • Urusi wamedhibiti anga lote la Syria hivyo kwamba hata Marekani lazima wawajulishe (kuomba ruhsa) Urusi kama wanataka kuruka kwenye anga la Syria.

Narudia tena. Hakuna atakaekuwa mshindi kama NATO na Urusi wakizichapa. Dunia nzima itaangamia. Acha ushabiki.

Achana naye huyo asikupotezee muda.
 
We kweli kihiyo. Fact ipi hapo?? Wapi Source ya Mmarekani kuingia kwenye anga ya Mrusi?? Hii inahitaji logic tu, Marekani na sharubu zake hawezi kuingia bila ruhusa kwa anga ya Mrusi n vice versa.
Google kuhusu F-22, sio kukataa tu kwa sababu unaweza ku-punch keyboard. At least unakubali kuwa Marekani ana sharubu, na kama umesema vyema "n vice versa". Ndo maana kuna kitu kinaitwa Treaty on Open Skies. Soma hapa.
 
Bukyanandi hakuna mtu anakataa uwezo S-400 lakini msituambie haipitiki or is like iron dome Fulani,kwanza niliwahi kumsikia one General akisema dawa ya good defence system is overwhelm with cheap cruise missiles kabla hujailipua yenyewe,imagine 100 cruise missiles per minute targeting your system utashusha ngapi na ngapi zitakulipua? is more theory na wala sina uhakika lakini it does make sense
ile system ni multilayer ndo maana unaambiwa inakuwa na aina tofauti ya makombora.
 
The simple way to defeat S-400 is by using ground force using artirelly fire,
but russia cant allow enemy artirelly within striking distance from its S-400
 
You are entitled to your misguided opinion.

But to me, the world is a much better place with America.

America is indeed god's gift to the world.
Hivi kwanini watu wengi wakishaingia America tu wanakuwa wazalendo wa America hembu tujuzeni kuna nini huko?
 
I can barely understand you, clean your keyboard and hands off the curl, then write..

Well...if you can't understand me then that's on you. Blame it on your pea-sized brain, not me.

Not sure what race you are, but if you are white, well done for being honest to your home country.

What's race got to do with anything?

I say stop jerking off on a keyboard and get a real life.

Hahahaa when you are cornered you resort to played out insults. Poor thang....you need a hug.
 
Back
Top Bottom