Pentagon: Russia's S-400 Air Defense in Syria Forces US to Ground Warplanes

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
11,061
16,743
1030805102.jpg

As part of Russia's anti-terror campaign in Syria, the Kremlin has deployed sophisticated air defense systems to protect its aircraft. According to the Pentagon, those units have effectively grounded US aircraft.

Earlier this month, Moscow deployed the S-400 anti-aircraft system to Syria. The next-generation air defense system, it carries three different types of missiles capable of annihilating aerial targets at both short and long range, and the decision came after Turkey?s downing of a Su-24 bomber in Syrian airspace.

But according to US officials speaking to Bloomberg, the S-400 is also having the unintended effect of grounding America?s manned warplanes, and the Pentagon is struggling to adjust its strategy in the region.

The issue is causing enough panic in Pentagon circles that officials are looking for ways to paint Russia?s defensive installations as a sign of "Russian aggression."

"The increasing number of Russian-supplied advanced air defense systems in Syria is another example that Russia and the regime seek to complicate the global counter-Daesh coalition?s air campaign," Major Tim Smith told Bloomberg.

"Unlawful actions by Russia and the Syrian regime will not stop coalition counter-Daesh operations in Syria, nor will such actions push the coalition away from specific regions in Syria where Daesh is operating," he added.

But Moscow has made no secret about its efforts to join forces with the West in the fight against Daesh, also known as ISIL/Islamic State.

"We must throw away all quarrels and differences, form a firm first, a unified anti-terrorist front, which will act based on international law and be sponsored by the UN."

While the Pentagon has grounded manned flights in the vicinity of Russia?s air defenses, it still operates drones.Russia has launched airstrikes against terrorist targets in Syria since September 30, acting at the request of the Syrian government. On Wednesday, the Russian Defense Ministry announced it had conducted 59 sorties in a 24-hour period, destroying 200 Daesh targets.

The US-led campaign has been targeting Daesh in Syria for over a year, but has done little to halt the terrorist organizations oil revenues.

Source:
Sputnik
 
Teh teh teh.....source ni Sputnik.

Maskini babu Putin anahaha kweli tokea kidege chake kitunguliwe.
 
Siku VVP akifa awe rais ama baada ya kustaafu US na some EU watafanya sherehe ya karne, Huyu jamaa ni pasua kichwa,anawafamya zidi ya marais 30 na Majenerali wao wasilale kwa raha. Zamani mtu kama huyu tulikua tunamuita "Jeshi la mtu mmoja".Ha ha ha haaa. Ama kweli Mungu kila baada ya miaka kadhaa huwa analeta mtu wa kipekee.Lol.
 
Siku VVP akifa awe rais ama baada ya kustaafu US na some EU watafanya sherehe wya karne, Huyu jamaa ni pasua kichwa,anawafamya zidi ya marais 30 na Majenerali wao wasilale kwa raha. Zamani mtu kama huyu tulikua tunamuita "Jeshi la mtu mmoja".Ha ha ha haaa. Ama kweli Mungu kila baada ya miaka kadhaa huwa analeta mtu wa kipekee.Lol.
Ni kweli mkuu,jamaa huyu amewazidi kete kwa mbali mahasimu wake na hilo wanalijua sana, we sema wanajaribu ku put up a brave face lakini deep down wanajua PUTIN ni zaidi.

Mimi ninacho weza kutabiri ni kwamba kama Trump anaweza kushinda Urais basi Merikani, Urusi wataelewana kwenye mambo mengi yenye tija kwa binadamu na sio mambo ya vita na uchochezi unaopaliliwa na ma neocon,hii inawezekana kabisa tukikumbuka maelewano yaliyo kuwepo baina ya Reagan na Gorbachev walikubaliana kuachana na vita vya baridi including Uhundwaji wa Air Defence systems za STARWARS na kupunguza idadi ya ICBM na Bombers kwa pande zote, si hilo tu hata wakati wa utawala wa G.Bush Jr na Putin nao walielewana vizuri tu tatizo limekuja kuhibuka katika second term ya Utawala wa Obama - yaani hivi sasa si rahisi kujua kama Obama ana madaraka kweli-yupo yupo tu anaendeshwa puta na ma neocon,kikundi hicho ni tishio kubwa kwa amani ya Dunia,kundi hilo lisipo mkuta Rais mwenye msimamo linaweza kusababisha WW3, hawana hekima hata kidogo.
 
Neocon na Obama wapi na wapi? seems unaongea kinyume nyume
 
Really? Seems you need to familiarize your self about the neoconservatives (neocons). Neocons ni movement iliyoanzishwa na Democrats wenyewe waki challange namna utawala wa chama chao ulivyokua ukiendeshwa pia namna walivyokua wakitekeleza sera za ndani na nje ya taifa lao.
Ilitokea tu neocons kukubalika na Republicans kwa kuwa mara nyingi movements zao hutokea kuwajenga wao na kudhoofisha utawala wa democrats. Hivyo basi, Bukyanagandi yupo sahihi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh.....source ni Sputnik.

Maskini babu Putin anahaha kweli tokea kidege chake kitunguliwe.

Ni kweli mkuu. S-400 missiles zilizoko karibu na Damascus pamoja na Marine S-300 zilizoko kwenye meli ya kivita bahari ya Mediterranean zimeifanya anga yote ya Syria mali ya Warusi.

Haya madude ni hatari sana. 4th generation fighters zote kama F15, F16, na F/A18 hazina kinga ya haya madubwana. Ni muhimu Marekani (NATO) washirikiane tu na Urusi kuwadhibiti terrorists. Ndege yoyote ile itakayofanya ubabe kwenye anga ya Syria bila ya ruhsa ya Urusi itaangamia.

NATO wasiposhirikiana na Urusi Syria basi tumalize viroba vyetu haraka haraka kwa sababu itakuwa ndio mwisho wa dunia. Huu sio utani.
 
Mweleze huyo Nyani Ngabu anasherejea kutunguliwa ndege ya Urusi, na baada ya hapo haelewi kwamba Mrusi kaziweka hizo systems na kasema, tena hadharani, mwanaume aingie Syria kwa sasa.
Marekani p.umbu zimeingia ndani, na Mturuki hata achoongea hakieleweki.
 
Ni kweli mkuu. S-400 missiles zilizoko karibu na Damascus pamoja na Marine S-300 zilizoko kwenye meli ya kivita bahari ya Mediterranean zimeifanya anga yote ya Syria mali ya Warusi.

Haya madude ni hatari sana. 4th generation fighters zote kama F15, F16, na F/A18 hazina kinga ya haya madubwana. Ni muhimu Marekani (NATO) washirikiane tu na Urusi kuwadhibiti terrorists. Ndege yoyote ile itakayofanya ubabe kwenye anga ya Syria bila ya ruhsa ya Urusi itaangamia.

NATO wasiposhirikiana na Urusi Syria basi tumalize viroba vyetu haraka haraka kwa sababu itakuwa ndio mwisho wa dunia. Huu sio utani.

Kidege cha babu Putin kimeshatunguliwa.

Babu Putin kabaki anabweka tu kama mbwa koko.
 
Sukhoi SU-24 iliotunguliwa na uturuki ni bomber na haiwezi kujihami. Kwenye hatari vitani huwa zinasindikizwa na fighters kama SU-27, SU-30, SU-34(the duck), n.k. Uturuki ilipoitungua ile ndege haikuwa inasindikizwa kwa sababu Urusi walijua hakuna adui angani. Ndio maana Putin alisema kuwa Uturuki stabbed us in the back kwa sababu walidhani wako upande mmoja.

Sasa hivi bombers zote zinasindikizwa na fighters halafu, zaidi ya kusindikizwa, anga lote liko kwenye himaya ya hizi S-400 na S-300 air-defense systems.

This is serious stuff mkuu na sio vitu vya kushabikia kwa sababu kama NATO na Urusi wakipambana sote duniani tutakuwa matatani. Sijui kama unasoma journals za military science. Katika hizi journals zinaeleza matokeo ya table-top scenarios ya mapambano kati ya Urusi na Marekani na katika kila zoezi Urusi inashinda. Hizi mock scenarios zinafanywa na Wamerekani wenyewe.

Sisi tuombe mungu tu kuwa huu ubabe wa Marekani uwe ni wa maneno na majigambo tu lakini wakidiriki kum-engage Mrusi tactically au strategically basi sote duniani tutakuwa tumekwisha.
 
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Anti-US mnahangaika kweli.

Mnatafuta kila njia ya kuficha aibu lakini wapi.

Kidege cha babu Putin kimeshatunguliwa na hakuna analoweza kufanya zaidi ya kubweka kama bobi:laugh:
 
Huu wangu sio ushabiki kwa sababu haya ni mambo ya hatari sana.

Urusi wamejibu vizuri sana:
  • Wamewawekea pingamizi Uturuki kibiashara na uchumi wa Uturuki sasa unayumba (tafuta muda usome walichofanya na matokeo yake. Usikilize CNN tu utapitwa na mengi)
  • Wamevunja uhusiano wa kibalozi na Uturuki (very serious)
  • Urusi wamedhibiti anga lote la Syria hivyo kwamba hata Marekani lazima wawajulishe (kuomba ruhsa) Urusi kama wanataka kuruka kwenye anga la Syria.

Narudia tena. Hakuna atakaekuwa mshindi kama NATO na Urusi wakizichapa. Dunia nzima itaangamia. Acha ushabiki.
 
Mkuu acha naye huyo mzungusha mauno kwa niaba ya maYankee!
Anajiuza na kulipwa kwa ujira wa kupata Greencard.
 
Mnaodai eti Urusi imedhibiti anga lote la Syria hebu someni hii.

Hezbollah said Kantar was killed along with eight others in an airstrike in Jaramana, a suburb of the Syrian capital Damascus, on Saturday night. According to Hezbollah's Al-Manar TV, two Israeli warplanes entered Syrian airspace and fired four long-range missiles at the residential building in Jaramana. It aired footage of what it said was the building, which appeared to be destroyed. Kantar's brother, Bassam, confirmed his "martyrdom" in a Facebook post on Sunday.

Source
 
Huu wangu sio ushabiki kwa sababu haya ni mambo ya hatari sana.

Urusi wamejibu vizuri sana:
  • Wamewawekea pingamizi Uturuki kibiashara na uchumi wa Uturuki sasa unayumba (tafuta muda usome walichofanya na matokeo yake. Usikilize CNN tu utapitwa na mengi)
  • Wamevunja uhusiano wa kibalozi na Uturuki (very serious)
  • Urusi wamedhibiti anga lote la Syria hivyo kwamba hata Marekani lazima wawajulishe (kuomba ruhsa) Urusi kama wanataka kuruka kwenye anga la Syria.

Narudia tena. Hakuna atakaekuwa mshindi kama NATO na Urusi wakizichapa. Dunia nzima itaangamia. Acha ushabiki.

Nyani ngabu ana ushabiki wa kijinga sana! Anaitetea marekani kisa anaishi huko,bila kuchambua ukweli,Urusi ni taifa hatari sana!
 
me nadhani wangetumia collaboration method btn U.S & Russia ili kuwaangamiza IS coz ndo big threat.
 
Ni kweli mkuu. S-400 missiles zilizoko karibu na Damascus pamoja na Marine S-300 zilizoko kwenye meli ya kivita bahari ya Mediterranean zimeifanya anga yote ya Syria mali ya Warusi.

Haya madude ni hatari sana. 4th generation fighters zote kama F15, F16, na F/A18 hazina kinga ya haya madubwana. Ni muhimu Marekani (NATO) washirikiane tu na Urusi kuwadhibiti terrorists. Ndege yoyote ile itakayofanya ubabe kwenye anga ya Syria bila ya ruhsa ya Urusi itaangamia.

NATO wasiposhirikiana na Urusi Syria basi tumalize viroba vyetu haraka haraka kwa sababu itakuwa ndio mwisho wa dunia. Huu sio utani.

Mkuu watu wengine hawataki kukubali ukweli kwamba PUTIN si mchezo, anacho fanya hivi sasa ni kuwapa Merikani wa washiraka wake enough rope ili wajimalize/wakimbie wenyewe, kwanza Warusi wanajua kwamba Uturuki ilipewa kibali na Merikani kuangusha SU-24, binafsi nafikiri marubani wa F-16 walikuwa ni Wamerikani au Waingereza maanake Nchi zao ndio zilikuwa zinazungumzia sana kwamba ndege za Urusi zikianza kuangushwa huko Syria basi hilo litawatisha sana Warusi - mawazo ya kijinga kabisa.

Tangu kuangushwa kwa SU 24 BOMBER ndio kuliwafanya Warusi waonyeshe walivyo wakali kijeshi kwa kuongeza silaha na mitambo ya ulinzi wa anga(S-400) na mashambulizi makali zaidi - kwa maneno mengine Russia has been showcasing some of its capability (repeat some) to make the USA think twice, ndio maana ghafla bin vuu J.Kerry kakimbilia Moscow (his.. between his legs) kufanya mazungumzo na Lavrov na Ivan the Terrible, ndege za vita za Merikani zakaondolewa fasta Uturuki na kwenda kufichwa huko Uingereza si hilo tu hata makombola ya Patriot yakaondolewa kwenye anga la Uturuki fasta fasta!! Sina shaka Response ya Urusi kijeshi baada ya ndege yao kuhujumiwa iliwatisha sana Wamerikani na Washirika wake - kumbuka leo Putin kasema bado hajatumia silaha zake (conventional) ambazo ni kali zaidi,leo hii Merikani haiwezi kurusha ndege zake za kivita au Drones kwenye anga la Syria bila ya kutaarifu Jeshi la Urusi kwanza.

Baada ya matukio hayo - looks 2 me like Urusi ilimwambia Obama bila ya kumungunya maneno kuhusu hatua itakayo fuata kama Uturuki itajaribu tena kuhujumu ndege au meli zao za kivita, sina shaka US haikuwa na jinsi ilipaswa kukubaliana na Urusi na kujiweka pembeni (i.e kuondoa zana zake za kivita Uturuki), Ujerumani nayo ameondoa makombola yake ya Patriot kwenye anga la Uturuki na kuyarudisha Ujerumani, ghafla Uturuki imeachwa hiko exposed/solemba, kisa - Mziki wa S-400 si lelemama.
 
Back
Top Bottom