Peniela (Story ya kijasusi)

Hahahaha
Kuna comment moja hivi nilishakutana nayo inasema kuwa huyu mkuu LEGE hatunaye tena.

Sijapata uhakika 100% lakini nilijikuta nalia tu
Hahahahaha nipo wakuu sema nilikumbwa na vimbunga vya hatari hatari mwaka ulikuwa wangu huu..yawezekana kabisa hiyo coment iliandikwa na watesi wangu.maana hata mawasiliano sinayo tena so yawezekana wao walituma hiyo sms coz waliweza pata access ya acount zangu zote za social network.
Na hata wale wadau ambao tunafahamiana nje ya jf na waliokuwa na namba zangu wanatambua hilo na sipo hewani tena kwa namba zile..ila mungu ni mwema uzima ndio kila kitu
 
pole sana mkuu na karibu tena kilingeni.
 
Aisee pole mkuu
 
Ohooo Haleluya,Yehova..mpka nimejikuta natoa machozi ya furaha sijui kwanini.
Mungu wetu ni mwaminifu sana.karibu tena LEGE
 
Na hisi

Nahisi bado sipo salama zaidi na uhakika wa kudumu kwenye social network ni wamashaka sana coz mawasiliano yangu yote ni kama sio yangu tena bali yapo mikononi mwao..

Wacha kesi ikiisha nitajua naanzaje au nakuja vipi jf but now nitakuwa kwa magumashi sana..

Jamhuri wana mkono mrefu
 
Hahahaha

Hahahahaha nipo wakuu sema nilikumbwa na vimbunga vya hatari hatari mwaka ulikuwa wangu huu..yawezekana kabisa hiyo coment iliandikwa na watesi wangu.maana hata mawasiliano sinayo tena so yawezekana wao walituma hiyo sms coz waliweza pata access ya acount zangu zote za social network.
Na hata wale wadau ambao tunafahamiana nje ya jf na waliokuwa na namba zangu wanatambua hilo na sipo hewani tena kwa namba zile..ila mungu ni mwema uzima ndio kila kitu
Pole sana mkuu LEGE. Kumbe tulichoambiwa hakikuwa na ukweli!. MUNGU aendelee kukulinda.
 
Hahahaha

Hahahahaha nipo wakuu sema nilikumbwa na vimbunga vya hatari hatari mwaka ulikuwa wangu huu..yawezekana kabisa hiyo coment iliandikwa na watesi wangu.maana hata mawasiliano sinayo tena so yawezekana wao walituma hiyo sms coz waliweza pata access ya acount zangu zote za social network.
Na hata wale wadau ambao tunafahamiana nje ya jf na waliokuwa na namba zangu wanatambua hilo na sipo hewani tena kwa namba zile..ila mungu ni mwema uzima ndio kila kitu
Pole sana mkuu Mungu akusaidie uwe na afya njema na maisha ya amani.
 
Kuna mzigo mpyaa wacha niweke mambo sawa kama vipi niubwage hapa tuanze jaramba na mchaka mchaka wa kukesha kama kawa..
IMG-20181023-WA0040.jpg
IMG-20181023-WA0040.jpg
 
Na hisi

Nahisi bado sipo salama zaidi na uhakika wa kudumu kwenye social network ni wamashaka sana coz mawasiliano yangu yote ni kama sio yangu tena bali yapo mikononi mwao..

Wacha kesi ikiisha nitajua naanzaje au nakuja vipi jf but now nitakuwa kwa magumashi sana..

Jamhuri wana mkono mrefu
uliwafanyaje mkuu
 
Mkuu Lege,kwa mafumbo yako unakuwa bado hujatusaidia ndugu yangu. Ni vyema ungefunguka ila tujue ilikuwaje na sisi tuweze kuchukua tahadhari tusirudie makosa yalokutia tabuni ww.
 
Kuna mzigo mpyaa wacha niweke mambo sawa kama vipi niubwage hapa tuanze jaramba na mchaka mchaka wa kukesha kama kawa..View attachment 908600View attachment 908600
Mkuu LEGE, pole sana, siku nyingine tushirikishe ili tuone namna ya kukusaidia, ww ni mtu wa Jamii yetu, na unamchango mkubwa, bila ww kunawatu wasingeijua JF, na kunawatu pia wasinge mjua patrick,

Mkuu njoo pm tushirikishane....
 
Back
Top Bottom