Pengo: Wanasiasa waacheni Maaskofu wafanye kazi zao, msiwafundishe kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pengo: Wanasiasa waacheni Maaskofu wafanye kazi zao, msiwafundishe kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Aug 26, 2009.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  [FONT=&amp]Muwadhama Polycarp Kardinali Pengo anazungumza katika mazishi ya Askofu Mayala Mwanza ambako anazungumzia ufisadi na maovu mengine, lakini anaonekana kukemea ufisadi huku akionekana kuwabeza wanaopambana na ufisadi. Iko live Star TV.

  Yuko JK na Mkapa
  [/FONT]
   
 2. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ndio unafiki wake huo...
  viongozi wa dini inapaswa wawe straight na hoja na si kuiongea kwa mafumbo ambayo si rahisi kung'amuliwa na asilimia 75 ya wananchi wetu..
   
 3. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Anawagonga kuhusu Waraka wa Katoliki mbele ya JK
   
 4. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Halisi, hebu liweke vizuri ili tusio kwenye luninga tuweze kuchangia!
   
 5. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Anasema waraka wa kichungaji haupaswa kuomba baraka kwa wengine, na anasema Maaskofu waachwe wafanye kazi yao bila kuingiliwa na mamlaka yoyote iwe ya chama ama yoyote kwani Mwenyezi Mungu ndiye anayewaongoza, wanatenda kwa dhamira ya dhati. Ikiwa Maaskifu lazima waawaconsult political sysytem watachanganyikiwa
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Usiwaonee mkuu.

  Alichosema ni kuwa anawambia MOJA KWA MOJA kuwa wasiwafundishe kazi maaskofu kuwa wasifanye hivi na wafanye hivi.

  Amewapa moja kwa moja bila kuwaficha. Kasema wasitake maaskofu waonekane wanaenda kisiasa ilhali si dhamira yao.

  Hapendi kuongelea siasa msibani lakini anapenda kuona Tanzania inakuwa njema.
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Anaonekana kukerwa na CCM kujadili waraka
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nimependa namna ambavyo ameonekana kuongea bila kuona haya mbele za JK na BWM. Hii ndiyo inatakiwa, hakuna kumwangalia mtu usoni.

  Naona sasa wanaendelea na ibada. Si wengine mlikuwa mnaona via JumpTv? Si lazima uwe Tanzania
   
 9. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,890
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli amewapa bila woga wowote. Hajamungunya maneno kuhusu ufisadi na serikali au chama kuingilia Barua za kichungaji kutoka kwa maaskofu (Hapa alikuwa anampa kijembe Kingunge) na kutoa mfano tawala za kikomunisti zilivyoshindwa katika kupingana na uenezaji wa barua hizo
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  TBC1 wanaonyesha pia mkuu? Huwa wanapatikana online? Quality ya StarTv si nzuri natafuta alternative
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hivi naweza kuona online kwa kutumia internet?
  Hapo wanaweza kumpa chance BWM ajisafishe nae
   
 12. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #12
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nahisi JK au BWM mmojawapo ataongea, nasubiria kwa hamu sana.
   
 13. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Lakini anaonekana kukemea ufisadi huku akionekana kuwabeza wanaopambana na ufisadi.

  'Hii ndio inaweza kumsababisha mtu amwite Mnafiki' . Mtoa habari tafadhari toa habari kamili na donoa dodoa hii yaweza kutufanya wengine tupatwe na mdondo hasa ingizingatiwa kwamba watu hawa wa kanisa tunawafahamu fika kwa maana kwamba tumetokea humo na yemetushinda ya upadrisho na mengineyo.
   
 14. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Alisema kwamba kama wote wanaopiga kelele za ufisadi wangekuwa wanafanya hivyo kwa dhati ya moyoni, kusingekuwa na ufisadi nchini na kwamba isije kuwa wanaopiga kelele wamekosa fursa za kufanya ufisadi kutokana na mafisadi kuzimaliza.
   
 15. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  TBC1 hawaoneshi mkuu ni startv pekee kwa sasa inaonesha
   
 16. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Hicho ni kijembe mkuu kwa CCM inayosema wanapambana na mafisadi lakini hawasemi ni akina nani na wako wapi!
   
 17. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #17
  Aug 26, 2009
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pengo Nimemkubali leo: "Unapomuua nyani usimwangalie usoni"
   
 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nasubiri kuona magazeti kesho yataandika nini... Tatizo StarTv inaelekea wataonyesha ibada ya mazishi na si mazishi kwa ujumla. Wapo Kawekamo jijini Mwanza
   
 19. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #19
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Duh,

  Mkapa kawa wa kwanza kukomnika
   
 20. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #20
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Namwona Chenge naye kakomnika sasa hivi
   
Loading...