Pengo: Nimesamehe

Suala la Gwajima kuhojiwa na vyombo vya usimamizi wa sheria halihusiani na kesi au jalada lolote lililofunguliwa na Askofu Pengo, bali ni utekelezaji wa kusimamia sheria za nchi. Kutukana hadharani ni kosa na unashitakiwa na Jamuhuri, kwa hiyo hata kama Pengo amemsamehe Gwajima hawezi funga jalada lililofunguliwa na Jamuhuri. Tusubiri itakuwaje.
 
Kwanza anatakiwa atubu kwa dhambi ya mipango ovu aliyopanga na Pinda ya kumtesa Gwajima. Pia amwambie na Kilaini arudishe pesa za escrow zilizoliwa na majambazi wote.

Mimi Mkatoliki na mseminary lakini namwelewa zaidi Gwajima kuliko Pengo . Pengo alitakiwa kuomba Wakatoliki wa Tanzania msamaha kwa ushirika wake na CCM kabla ya kusema amesamehe Gwajima .
 
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

Hujui unalolisema na hii inatokana na kutolijua Neno la Mungu bali unaenda kwa mazoea na mambo yenu ya dini! soma Biblia uijue vizuri ili siku nyingine usije ukaona watumishi wa Mungu ni wa mtaani ila wakatoliki ndiyo wa Mungu!
 
askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam mwadhama pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima na wote walioguswa .ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo jumapili katika kanisa la st joseph amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama Mytake:niishauri serikali kuachana na gwajima madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msahamasource Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa
Yani na wewe kabisa unaenda kwenye ibada ambayo pengo anaiongozwa baada ya kuwasaliti maaskofu?
 
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

Rais wa TEC ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Na sio Kadinali yeyote. Kuna nchi hazina Makadinali.
 
Pengo kamsamehe mlopokaji Gwajima!? Sasa presha itabakia ktk mali amezipata wapi wakati yy ni mtumish wa kanisa kama anavyojinasibu wakati wajanja wanajua yeye mfuasi wa dini ya shetani.
 
Nani kamsababishia mwenzake matatizo? Salary slip, sikujui, lakini huwa naona post Zako za mtu msomi! Sasa hii statement yako inanipa mashaka makubwa sana. Nani kamsababishia mwenzake matatizo, nifafanulie

Domo lake ndo limemsababishia matatizo yy mwenyewe gwajima
 
Umeona Mkuu eeeh? Kwa kweli hata mimi nimehizunishwa sana na hiyo post ya Mkuu salary slip! Nikawa nawaza hivi ni hii mvua ya pasaka ndo imemfanya huyu mdau awe low kiasi hicho? Kwa kweli amefikri chini sana ya kiwango chake, hii ni below average!!
Salary slip ameniweka njia panda! This is below his intellectual dignity!
 
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

We catholics wakati mwingine tunakuwa so Eagle . Pengo ni Askofu wa mjini ?Pengo kakosea hakuna wa kupinga hili na sitakaa hata nisikilize anacho kisema . He has played politics kwenye maisha ya wanao mwamini na kumsikiliza . Hajui mateso yao wala shida zao za maisha yao ya kila siku .Bora Gwajima kasema hata kama hakusema kwa usahihi . Kanisa katoliki Tanzania si mali ya Pengo . Sote tunaweza kukataa na ukatoliki ukafa atabakia kuwa Askofu wa watu gani ?
 
Back
Top Bottom