Pengo la Prof. Muhongo laanza kuonekana. Mgao wa umeme umeanza kurudi kwa kasi

salehe

Member
Mar 16, 2008
83
30
Sasa ni dhahiri bila shaka. Baada ya Prof. Muhongo kuondolewa kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa nishati na madini.

Mgao wa umeme umeanza kurudi taratibu. Huku kwetu tangu jmosi tunapata adha ya kukatika umeme kila Siku jambo ambalo tulikuwa tumelisahau kwa muda mrefu.

JPM tunakuomba ulitazame tena jambo hili maana ule msemo wako wa hapa KAZI tu na Tanzania ya viwanda itakuwa ndoto. Hebu angalia sasa hivi tunatakiwa kufanya kazi tupo tuna piga story tu
 
Sasa ni dhahili bila shaka. Baada ya Prof. Muhongo kuondolewa kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa nishati na madini. Mgao wa umeme umeanza kurudi taratibu. Huku kwetu tangu jmosi tunapata adha ya kukatika umeme kila Siku jambo ambalo tulikuwa tumelisahau kwa muda mrefu. JPM tunakuomba ulitazame tena jambo hili maana ule msemo wako wa hapa KAZI tu na Tanzania ya viwanda itakuwa ndoto. Hebu angalia sasa hivi tunatakiwa kufanya kazi tupo tuna piga story tu

Kama ni kweli basi amekuwa ni failure mkubwa sana, kwani Kiongozi anatakiwa awe na uwezo wa kutatua tatizo na siyo kulilea, hivyo ina maana hakulitatua tatizo la mgao wa Umeme bali alililea!
 
Sasa ni dhahiri bila shaka. Baada ya Prof. Muhongo kuondolewa kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa nishati na madini.

Mgao wa umeme umeanza kurudi taratibu. Huku kwetu tangu jmosi tunapata adha ya kukatika umeme kila Siku jambo ambalo tulikuwa tumelisahau kwa muda mrefu.

JPM tunakuomba ulitazame tena jambo hili maana ule msemo wako wa hapa KAZI tu na Tanzania ya viwanda itakuwa ndoto. Hebu angalia sasa hivi tunatakiwa kufanya kazi tupo tuna piga story tu
Mwili tembo ubongo wa mende. Muhongo ndo umeme? Rais alete mwadilifu ili wat wasimwage maji bwawa la mtera. Ila namkumbusha Mh. Rais wale watu alosema walikuwa wanafungulia maji ya kuzalisha umeme yaishe ili kuwe na mgao halafu watu wauze majenereta na mafuta kawachukulia hata gani? Kama aliwazimisha kimyakimya poa.
 
Kuna mgao wa umeme uko wa kimya kimya
Jana kino umeme ulikatika kuanzia Saa tano na kurudi Saa moja Kamili....

Ova
 
Back
Top Bottom