Pengo la Prof. Muhongo laanza kuonekana. Mgao wa umeme umeanza kurudi kwa kasi

Sasa ni kwanini TANESCO wasituambie ili tujue tujipange kujitahidi kubadili ratiba zetu. Wanaficha nini sasa jambo la kawaida hilo kama lipo?
Kwani hujui kuficha mambo nyeti imo kwenye Ilani ya CCM? Umesahau ndege iliyomgharimu Lissu?

Hayo ni machache tunayoyajua, kuna mengi sana yanaendelea ila watawala hawataki tujue.
 
Ni bora umeliona hili prof .alikuwa anafit sanaa kweny ile nafasi toka ameondoka balaa tupu
 
Wanaozalisha na kusambaza umeme ni TANESCO.
Waziri anahusika na mambo ya kisera, hahusiki moja kwa moja na kukatika kwa umeme. Mkurugenzi wa shirika anahusika hapa.
 
Wanaozalisha na kusambaza umeme ni TANESCO.
Waziri anahusika na mambo ya kisera, hahusiki moja kwa moja na kukatika kwa umeme. Mkurugenzi wa shirika anahusika hapa.
Dr Kalemani aliwahi kumkoromea mtendaji mmoja akimtaka kuhakikisha umeme unapatikana, kwahiyo alikuwa anaingilia yasiyomhusu
 
Ile dharura ndio imesharudishwa jumla,,,,ngoja tuwatafute kina habinda sigh tena na majenereta yao
 
unataka kusema kuwa prof alikua na mbinu za ziada za kuongeza uzalishaji wa umeme ambazo wengine hawana.
 
Ni heri ukaka kimya, unaonekana umevamia tu siasa za tz.
Malizia utambulisho wako kwa kuweka "a" ili usomeke "kichaa"
Nani anazungumzia siasa hapa? Nyie ndio wale vichaa ambao kila jambo kwenu mnalitazama kwa kuingiza ushabiki wa kisiasa?
 
Kuna jamaa kanitonya eti ni mgao wa kimyakimya ila wamekatazwa kuweka public kwa amri kutoka juu. Jana mbeya na Tabora hakukua na umeme the whole day

Alhamisi na leo Arusha ni siku nzims, na sio kwamba ndio mgao ulianza bali tatizo limeanza mda sasa lakini naona sasa hivi mgao ndio unachanganya. Kwa hili suala la umeme ndio nitaanza kuona uimara wa awamu hii.
 
Attachments

  • 9DC49263-C4C5-4225-9A03-E85334947FEC.jpeg
    9DC49263-C4C5-4225-9A03-E85334947FEC.jpeg
    52.4 KB · Views: 40
Wanaozalisha na kusambaza umeme ni TANESCO.
Waziri anahusika na mambo ya kisera, hahusiki moja kwa moja na kukatika kwa umeme. Mkurugenzi wa shirika anahusika hapa.

Mbona ukiwaka bila kukatika anayepata sifa ni waziri na sio mkurugenzi wa shirika?
 
Back
Top Bottom