Pengo la John Komba katika nyimbo za kuomboleza halijazibika

Mimi nauliza tu; inaelekea masaa 18 tangu taarifa rasmi za msiba wa mwana wa Afrika, mzalendo namba moja duniani; je, salamu za rambirambi kutoka duniani huko zimeanza kuwasili/pokelewa?
 
... mimi nauliza tu; inaelekea masaa 18 tangu taarifa rasmi za msiba wa mwana wa Afrika, mzalendo namba moja duniani; je, salamu za rambirambi kutoka duniani huko zimeanza kuwasili/pokelewa?
Ndio .tumepokea salamu toka uingereza,kenya.orodha ni kubwa kwakwwli
 
Leo nimeona kwenye moja ya hizi You Tube tv's Khadija Kopa na genge la wahuni wa Bongo fleva wakiingia studio kurekodi nyimbo za maombolezo.

Sasa chukua combination ya Kopa,Rayvany,TID na Chid Benz nk itatoa upuuzi gani.

John Komba we miss you
 
Kwa tukio kubwa kama hili kuwa na ukimya kama huu kisanaa, hasa kwa nyimbo bora za maombolezo, Pengo aliloliacha Marehemu John Komba inaonekana kabisa halijazibika.
Daah umenikumbusha Comrade Capteni John Komba mwili nyumba.

Alikua fundi wa kutunga nyimbo na mashairi kwakweli.... Apumzike Salama
 
Komba si walimua wao wenyewe, wataenda kukutana vizuri huko huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom