Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

Huyu alieleta uzi huu unakuta kuna watu wanamtegemea kabisa sasa najiuliza kama anaetegemewa ana akili kama hii je wategemezi wake watakuaje....tuna safari ndefu saanaa
 
Shafii dauda na Makolo wenzie naona wameingia mkataba na barabara kusaidia MUDDY FC.
 
Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana!

Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba.

Inaonekana Mo amelipa hela nyingi sana ili tamasha litangazwe na Clouds ili kusudi lisidode, Haji Manara ameonekana pengo lake.

Simba bila Manara ni sawa na Nyumba bila baba
Linapokuja swala lakuziongelea izi timu mbili kubwa apa bongo watu wanaongelea sana kishabikii
 
nyie mmezoea promo yenu inafanywa na kina Kitenge lakini ungesikiliza historia ya Simba day ambalo hili ni tamasha la 13 kulinganisha na yenu mawili ungejua tu wakati Simba wanaanza tamasha la kwanza Clouds ndio walianza kulipromot ila kwa sababu ya roho yenu mbaya imeshaanza kuwauma, pengo la manara litaonekanaka kama atawavusha kama anavyojidai
 
Back
Top Bottom