Pengine Umeshalishwa....

Kwani mademu wa Lundega ndiyo wakoje wakoje? Ukionekana mtanashati na unajitahidi kupendeza basi wewe ni mmoja wa mademu wa Lundega? Masa naomba ufafanuzi

Mkuu,
si unajua tena kuna stereo types..ukionekana kiivo watu wanafikiria hujui kingine zaidi ya......
Masa kanitisha kweli maana amenifanye nifikirie matusi yanguoni niliyowahi kuyaona humu wakati tunachangia mada nyeti! Ndiyo maana nikaona hebu nionekane kweli im serious zaidi hahaha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom