Elections 2015 Peng Yeu(mkandaras): Huyu atakayekuwa Rais ni Mkali sana kama Xi Jinping wa China

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Leo Katika Matembezi yangu kule kigamboni kila weekend huwa napitia huko south beach, Mkononi nilikuwa na Gazzet lenye picha kubwa ya Magufuli, nilipofika maeneo wanapo camp wachina wanaojenga daraja la kigamboni nikaona wote wako concerned sana na Gazet nililoshika, Mmoja wao kwa jina la Peng akanifuata akauliza kwamba (i Think This Is Next President)

Nkauliza Kwanin? Wakanisogelea Wote Mmoja akasema ni mkali kama rais wa China, na anahisi watanzania wakipata rais kama huyu watafika mbali sana.

Akatoa mfano kuwa siku akifika pale anashtukiza anafika darajan anaanza kukagua bila hata huwashirikisha,kama kuna tofali haliko sehem husika anasogeza, baadae ndo anawasalimia, kama kuna tatizo watajuta, akasifu luwa Tanzania itakuwa imepata rais bora lakin mkali sana, apunguze akali Akashauri hivyo, mwisho wakanambia ni wakandarasi wa daraja la Kigambon,

Hii ikaendelea kunipa picha kwamba huyu mzee kumbe anafaa kuwa rais, kumbe sijakosea kumpa kipaumbele cha kumpigia kampeni maana najua mchuano ni mkali mno, kushinda lazima lakin kwa margin ndogo yaweza kuwa 56% kwa 30% na kina Mgwirah na wengine wakagawana 14 zilizobaki
 
Hahhha mkuu walikususa
KUNA WENGINE UTAWASIKIA TUMEMUMALIZA MAKONDA, TUMELIFUTA JINA LAKE KABISA.
katika vita hii kila aina ya nyoka atatoka, na akitoka tu ninagonga kichwa.

TUMEANZA VITA VYA KIUCHUMI, VITA HII NI NGUMU.
utasikia wengine wakisema uamuzi huu ni wa kipumbavu, kama vile wao walishawahi fanya maamuzi gani yasiyo ya kipumbavu.MPUMBAVU NI YULE AMBAYE HAJUI ANASIMAMIA NINI, YEYE NI WA KUDANDIA MATUKIO TU.
----
HEKO kwa signature yako.
 
Back
Top Bottom