Pendekezo: Zitto aongezwe kwenye kamati ya Bunge ya PAC au apewe mwaliko maalumu kushiriki vikao husika

Muulize Zitto kwanza kilitokea nini NSSF na miradi yake hasa kule kigamboni yeye akiwa mwenyekiti wa PAC? Sakata la uzaji wa viwanja vya NSSF kule kigamboni nini kilitokea ?-hahahahahaha

Tunajua njaa ina muuma alizoea kuchota pesa hahahahaha
Haya ndio majibu ya 1.5 trillion zimekwenda wapi?

Mbona mnaweweseka sana?
 
Kwa nini vichwa vyenu ni ngumu sana kuelewa? Mlimsikia na kumwona CAG mwenyewe akikanusha kwamba hakuna kitu kama hiyo kwenye hoja zake za ukaguzi.

Maana yake hakuna sakata la trillion 1.5. Sakata hilo ni la uwongo lililotengenezwa na Zitto. Mkuu wa nchi ameagiza mamlaka husika kumchukulia hatua kali za kisheria huyo Zitto. Sasa vichwa ngumu vinafikikiri kamati ya PAC itafuatilia hoja ambayo haipo, ni ya kughushi na vichwa ngumu vinapendekeza huyo mgushi wa hoja anayeitwa Zitto awe mjumbe wa PAC kufuatilia sakata hilo aliloghushi!!!

Nchi haihitaji siasa chafu kutoka kwa watu vichwa ngumu, waghushi, wasema uwongo na wazandiki. Nchi inahitaji siasa safi ili iendelee. Watu kama Zitto walipaswa kuwa behind bars.
Kichwa kigumu ni cha kwako na jiwe lenu, CAG anasema 1.5 Trillion hazina maelezo zimetumikaje na Zitto ndicho alichokisema, sasa mwambieni mjinga wenu twende mahakamani mkaumbuke vizuri.

Na zile Bomba dear mmegombowa Canada kwa pesa ipi na bajeti ipi?
 
Mnajisumbua tu akuna chochote uu ni upepo unapita tu yameshapita mangapi wala akuna wakuitoa serikali madarakani fanyeni kazi zenu tu msipoteze muda wenu watanzania
 
Zito alishawahi kuwa M/kiti wa PAC
Anauzoefu humo wa muda mrefu saaana
Ndio maana ana confidence saana juu ya swala la uchakachauaji wa hizo pesa
Anafahamu wazi kuwa siku ripoti ikiletwa bungeni kujadilia na kamati ya PAC hapo ndipo pataeleweka Mchele ni upi na chenga ni ipi

Ukizingatia nakala pia za reports ya CAG anazo,kwahivo hapatakuwa na uchakachuaji wowote wa riport ya CAG siku hio
 
Atakuwa na siri muhimu na si hivi hivi tu.
 
Ningemshauri Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atumie mamlaka yake kumuongeza Zitto kwenye kamati ya PAC(iwapo kanuni zinaruhusu) kamati ambayo ina jukumu la kufuatilia sakata zima la trilioni 1.5

Najua Zitto atakuwa ni mjumbe wa kamati mojawapo za Bunge ila katika hili sakata ingekuwa vizuri zaidi akashirikishwa katika kamati hii na ikibidi pia hata kwa kupewa mwaliko maalumu wa kushiriki hatua zote za vikao vya kamati ya PAC kama kanuni zitaruhusu au hata kwa Bunge kutengua kanuni zake kumuwezesha Zitto kushirikia.

Nafahamu pia Zitto anaweza kuhuduhuri vikao vya mahojiano lakini kwakuwa yeye ndio kaaibua swala hili basi ningeshauri ashirikshwe katika hatua zote kuanzia mahojiano mpaka katika hatua zote za uandaaji wa taarifa ya kamati ya PAC itakayosomwa Bungeni.

Natambua pia kamati ya PAC itakuwa na wajumbe kutoka upinzani lakini bado napendejeza Zitto ashirikishwe.

Vile vile yule mama ambae ni mwenyekiti wa kamati ya PAC ukimsikiliza kwakweli anatia moyo kuwa anaweza kusimama kidete katika kutafuta ukweli juu ya swala hili hata hivyo ni muhimu kumuongezea watu watakaoweza kumsaidia hasa wapinzani.

Hii issue ni nzito na inaweza kuchukua sura ya kisiasa,n.k hivyo tahadhari ni lazima ichukuliwe mapema kwani lolote linaweza kutokea /kufanyika na uzuri wote tumewahi kusikia wabunge wetu wakituhimiwa kwa mambo kadhaa wa kadha.

Jambo lingine ni kama hili la kuunda kamati maalumu ya uchunguzi wa swala hili kama ambavyo ACT wamependekeza kwa Spika na iwapo Spika ataridhia wazo hili basi napendekeza Zitto awe ni mmoja wa wajumbe wa kamati itakayoundwa kuchunguza sakata hili.
UTABIRI

Kamati ya PAC itagundua kuwa fedha hizi hazikuibiwa
 
Dada hii hoja imekuzidi kimo
Uwezo wako ni mdogo sana kujadili mada sensitive na complex kama hii.

Nakushauri tu uwe unaruhusu mengine yawe yanakupita hasa mambo mazito kama haya wewe subiri mada za akina diamond,nandy na vigodoro ndio size yako.

Ha ha ha haaaaaa
Eeeeeeeh

Na bado.. wewe hao uliowataja na kuwaona hivyo umejua kwa kuwa ndivyo ulivyo..

Jipige vibao vya usoni ulie..
 
Ningemshauri Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atumie mamlaka yake kumuongeza Zitto kwenye kamati ya PAC(iwapo kanuni zinaruhusu) kamati ambayo ina jukumu la kufuatilia sakata zima la trilioni 1.5

Najua Zitto atakuwa ni mjumbe wa kamati mojawapo za Bunge ila katika hili sakata ingekuwa vizuri zaidi akashirikishwa katika kamati hii na ikibidi pia hata kwa kupewa mwaliko maalumu wa kushiriki hatua zote za vikao vya kamati ya PAC kama kanuni zitaruhusu au hata kwa Bunge kutengua kanuni zake kumuwezesha Zitto kushirikia.

Nafahamu pia Zitto anaweza kuhuduhuri vikao vya mahojiano lakini kwakuwa yeye ndio kaaibua swala hili basi ningeshauri ashirikshwe katika hatua zote kuanzia mahojiano mpaka katika hatua zote za uandaaji wa taarifa ya kamati ya PAC itakayosomwa Bungeni.

Natambua pia kamati ya PAC itakuwa na wajumbe kutoka upinzani lakini bado napendejeza Zitto ashirikishwe.

Vile vile yule mama ambae ni mwenyekiti wa kamati ya PAC ukimsikiliza kwakweli anatia moyo kuwa anaweza kusimama kidete katika kutafuta ukweli juu ya swala hili hata hivyo ni muhimu kumuongezea watu watakaoweza kumsaidia hasa wapinzani.

Hii issue ni nzito na inaweza kuchukua sura ya kisiasa,n.k hivyo tahadhari ni lazima ichukuliwe mapema kwani lolote linaweza kutokea /kufanyika na uzuri wote tumewahi kusikia wabunge wetu wakituhimiwa kwa mambo kadhaa wa kadha.

Jambo lingine ni kama hili la kuunda kamati maalumu ya uchunguzi wa swala hili kama ambavyo ACT wamependekeza kwa Spika na iwapo Spika ataridhia wazo hili basi napendekeza Zitto awe ni mmoja wa wajumbe wa kamati itakayoundwa kuchunguza sakata hili.
Hana msaada huyo, halmashauri anayoiongoza kigoma mjini, ujiji, ilipata hati chafu, imesababisha na mkurugenzi wa Maendeleo eneo hilo kufutwa kazi .
Pengine na Yeye kwenye hiyo amount anayodai haionekani kashiriki kuipoteza,
 
CAG anasema 1.5 Trillion hazina maelezo zimetumikaje
CAG amekanusha hadharani kuwa hakusema hivyo lakini vichwa ngumu bado wanang'ang'ania alisema. Hawa sasa si vichwa ngumu tena bali vichwa maji.
 
Ningemshauri Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atumie mamlaka yake kumuongeza Zitto kwenye kamati ya PAC(iwapo kanuni zinaruhusu) kamati ambayo ina jukumu la kufuatilia sakata zima la trilioni 1.5

Najua Zitto atakuwa ni mjumbe wa kamati mojawapo za Bunge ila katika hili sakata ingekuwa vizuri zaidi akashirikishwa katika kamati hii na ikibidi pia hata kwa kupewa mwaliko maalumu wa kushiriki hatua zote za vikao vya kamati ya PAC kama kanuni zitaruhusu au hata kwa Bunge kutengua kanuni zake kumuwezesha Zitto kushirikia.

Nafahamu pia Zitto anaweza kuhuduhuri vikao vya mahojiano lakini kwakuwa yeye ndio kaaibua swala hili basi ningeshauri ashirikshwe katika hatua zote kuanzia mahojiano mpaka katika hatua zote za uandaaji wa taarifa ya kamati ya PAC itakayosomwa Bungeni.

Natambua pia kamati ya PAC itakuwa na wajumbe kutoka upinzani lakini bado napendejeza Zitto ashirikishwe.

Vile vile yule mama ambae ni mwenyekiti wa kamati ya PAC ukimsikiliza kwakweli anatia moyo kuwa anaweza kusimama kidete katika kutafuta ukweli juu ya swala hili hata hivyo ni muhimu kumuongezea watu watakaoweza kumsaidia hasa wapinzani.

Hii issue ni nzito na inaweza kuchukua sura ya kisiasa,n.k hivyo tahadhari ni lazima ichukuliwe mapema kwani lolote linaweza kutokea /kufanyika na uzuri wote tumewahi kusikia wabunge wetu wakituhimiwa kwa mambo kadhaa wa kadha.

Jambo lingine ni kama hili la kuunda kamati maalumu ya uchunguzi wa swala hili kama ambavyo ACT wamependekeza kwa Spika na iwapo Spika ataridhia wazo hili basi napendekeza Zitto awe ni mmoja wa wajumbe wa kamati itakayoundwa kuchunguza sakata hili.
Tena sppilka asimuongeze kabisa. Yaani ndicho anachotaka kuna baadhi ya watu wanajifanya wanajua. Yeye anajua anachoongea ni uongo lakini naaminisha watu kuwa ni ukweli. Huyo mtu ni hatari sana aogopwe kama ukoma. Mara achonganisha Bara na Zanzibar. Spika km. unapitia mitandao tena muacheni kabisa hafai!
 
Back
Top Bottom