johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,779
- 141,667
Najua UVCCM ukomo wa umri wa kijana na miaka 35, huu ni umri mkubwa sana yaani mdada anaweza kuwa na mjukuu lakini yuko UVCCM.
Niombe tu Bavicha, UVCCM na Ngome ya vijana ACT wazalendo wazingatie umri wa kijana ni miaka 15 hadi 30.
Ole sabaya kwa mfano siyo kijana.
Jumaa kareem!
Niombe tu Bavicha, UVCCM na Ngome ya vijana ACT wazalendo wazingatie umri wa kijana ni miaka 15 hadi 30.
Ole sabaya kwa mfano siyo kijana.
Jumaa kareem!