Pendekezo: Umefika wakati. Halima mdee apewe nafasi 1 kati ya 2 za Zitto

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Ni wazi hakuna anebisha ushupavu wa dada (mh Halima mdee) njee na ndani ya Bunge.
ni mmoa wa wabunge wa kwanza kuchukua jimbo la Dar Es kama mgombea mwanamke kutoka kambi ya upinzani.
ni mmoja ya akinadada waliotayari kujitolea hali na mali kuitumika cdm na taifa.
kwa kweli kila anaemjua mdee alivyo kuitumikia tz na cdm ni wazi ni moja ya wanawake wanaoaminiwa ndani ya CDM.
kama kupimwa uaminifu wake umefikia 99 asillimia.
sijawahi kusikia akukrupushana au hata kutuhumiwa ndani ya Cdm kuhusu usaliti

NAPENDEKEZA TU bila ya shindikizizo. apewe moja ya nafasi 2 alizonazo zito
sababu kuu
i) kumpunguzia zitto mzigo wa kutumikia vyeo 2. Naibu katibu mkuu na naibu mkuu bungeni
kwa kuwa tayari dada huyu amewiva kisiasa na damu ikiwa inachemka ili kuwavuta akina dada/ mama kuhamia chadema kwa wingi
 
Chadema ushaambiwa mfumo dume, huko inaonesha bora mwanamme mmoja awe na kofia zaidi ya moja ili mradi tu mwanamke asipate. Hiyo ndio chadema.
 
Ninavyokuona wewe mwishowe utasema na kikwete ampe mama makinda urais ili yy abaki kuwa mwenykt wa ccm tu, maana hoja yako haina mantiki kabisa.
 
Ni wazi hakuna anebisha ushupavu wa dada (mh Halima mdee) njee na ndani ya Bunge.
ni mmoa wa wabunge wa kwanza kuchukua jimbo la Dar Es kama mgombea mwanamke kutoka kambi ya upinzani.
ni mmoja ya akinadada waliotayari kujitolea hali na mali kuitumika cdm na taifa.
kwa kweli kila anaemjua mdee alivyo kuitumikia tz na cdm ni wazi ni moja ya wanawake wanaoaminiwa ndani ya CDM.
kama kupimwa uaminifu wake umefikia 99 asillimia.
sijawahi kusikia akukrupushana au hata kutuhumiwa ndani ya Cdm kuhusu usaliti

NAPENDEKEZA TU bila ya shindikizizo. apewe moja ya nafasi 2 alizonazo zito
sababu kuu
i) kumpunguzia zitto mzigo wa kutumikia vyeo 2. Naibu katibu mkuu na naibu mkuu bungeni
kwa kuwa tayari dada huyu amewiva kisiasa na damu ikiwa inachemka ili kuwavuta akina dada/ mama kuhamia chadema kwa wingi

Mkuu pale hawakupeana kwa bahati mbaya ni utaratibu umetumika .Mwenyekiti ni Mkuu wa Kambi na Naibu katibu Mkuu ndiye Naibu Bungeni .Slaa angalikuwa Bungeni basi angalichukua nafasi hiyo .
Wamama ndani ya Chadema wana nafasi nyingi mno .Hebu rudi kwenye chama uone kilivyo na uone akina Mama wana nafasi ngapi .
 
\

mkuu hapo nilipo bold sio kweli, ingekuwa ndo utaratibu zitto asingetangaza kugombea kuwa kiongozi mkuu kambi ya upinzani, kwa upande wa halima mdee inakuwa ni ngumu kumpa vyeo coz ni mchaga, asingekuwa mchaga nina hakika ile nafasi ingekuwa yake, ngoja regia mtema azidi kuimarika.
 
Halima apewe na nani wakati yeye ni "halima"?labda angeitwa"mary".pia yeye c ukoo wa mtei.hujui ukoo wa MTEI una monopoly right na chadema?habari ndo hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom