Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

Na hilo ndo tatizo kubwa kwa wakulima weng,we must come with real solution katika huo umoja wetu,nilazima tujue njia nzuri za kuuza na nnan haswa tutamuuzia hicho tutakacho kuwa tunakilima,soko lbaweza kuwepo ckatai ila kama hatutaweka mikakati mzuri kuhusu masoko tutaisshia kupata hasara.
 
Je limeshaundwa group la WhatsApp Kwa ajili ya implementation ya hii idea ya huyu mdau? Kama lipo idea imefikia wapi na kama bado way forward ni nini hadi sasa?
 
Liundwe Group La Telegram Ndo Linaweza Kuchukua Wakulima Wengi Zaidi, WhatsApp Inalimit Ya Idadi Ya Members
 
Back
Top Bottom