Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

maeneo gan? vp hilo eneo au shamba umefikiria kulima nin?
Hapo...nataka niweke nyanya ndefu...ni eneo...ila sitolijenga hadi nilime nilizike

4a6b200677f2eecc4f2bf159e4b148a0.jpg
 
Nilikuwa kwenye kundi la mtandao wasap! kilichotokea ni majonzi! hamasa ikawa juu, tukabun mradi wa mahindi, na pili pili. mahindi tukaweka mmoja wetu, akashindwa kufuatilia maji, mahind yakakauka karibu yatoe mbelewele. pia nilikuwa na mrad mwingine na yeye, mahind yakakomaa, na nikayaona. baadaye ananiambia yameibiwa shamba, akaokoteza kapata gunia 3, ilikuwa eka 2. nikamwambia uza unitumie gawio. gawio hakutuma, enz izo gunia n elfu 30. nikamfata, nikaambulia elfu 20. nyingine ikawa danadana, had nikakata tamaa. nilichangia lak 7 katika huo mradi, na ule mwingine lak na nusu. haya, kwenye pili pili, sikuchanga, ila watu 10 kila mmoja alitoa laki 2, then mhazin akatokomea. asee! kwa sasa mim ni manager wa shamba fulan kubwa tu, pia nina lakwangu! kulima na usiyemjua ni tabu, ni bora ukala hiyo hela unenepe
 
Pole sana tatizo haukuwa bega kwa bega na wenzio....ulisahau kuwa mjini kuna watu na viatu...ukitaka mradi uendele hakikisha unatoa mchango wako na wewe unafika mahala mradi ulipo kujionea maendeleo...ila wengi tunalima kwa simu...jambo ambalo ni la hatari sana
 
Back
Top Bottom