Pendekezo : Tarehe 7 Septemba ya kila mwaka iadhimishwe kama siku ya kikatili zaidi Tanzania , iambatane na Makongamano nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,165
217,108
FB_IMG_1567852432690.jpg

FB_IMG_1567852611062.jpg

Hakuna namna nzuri ya kutafakari Shambulio la Kikatiri lililoambatana na aibu kwa nchi lililofanywa na watu waoga dhidi ya Mh Tundu Lissu , kama kuifanya siku hii iwe ya kumbukumbu ya Kitaifa itakayojaa mijadala , makongamano na tafakuri nchi nzima .

Wanaharakati na watetezi wote wa haki za binadamu waichukulie siku hii kama alama ya unyama dhidi ya ubinadamu , iwe siku ya kuiambia dunia kuhusu unyama unaotendwa dhidi ya binadamu wanaotumia uhuru wao kukosoa .
 
Bila shaka umekula ugali wa dona na maharage umeshiba sasa kila wazo linakuja kichwani mwako! Hebu pumzika kwanza mwili ukae vizuri Mkuu!
 
Hakuna namna nzuri ya kutafakari Shambulio la Kikatiri lililoambatana na aibu kwa nchi lililofanywa na watu waoga dhidi ya Mh Tundu Lissu , kama kuifanya siku hii iwe ya kumbukumbu ya Kitaifa itakayojaa mijadala , makongamano na tafakuri nchi nzima .

Wanaharakati na watetezi wote wa haki za binadamu waichukulie siku hii kama alama ya unyama dhidi ya ubinadamu , iwe siku ya kuiambia dunia kuhusu unyama unaotendwa dhidi ya binadamu wanaotumia uhuru wao kukosoa .
Ery,wazo lako ni zuri kiaina. Je, unaonaje ukiliingiza TBC, ITV,nk lipate forum participants wengi iwezekanavyo?
 
View attachment 1200677

View attachment 1200678

Hakuna namna nzuri ya kutafakari Shambulio la Kikatiri lililoambatana na aibu kwa nchi lililofanywa na watu waoga dhidi ya Mh Tundu Lissu , kama kuifanya siku hii iwe ya kumbukumbu ya Kitaifa itakayojaa mijadala , makongamano na tafakuri nchi nzima .

Wanaharakati na watetezi wote wa haki za binadamu waichukulie siku hii kama alama ya unyama dhidi ya ubinadamu , iwe siku ya kuiambia dunia kuhusu unyama unaotendwa dhidi ya binadamu wanaotumia uhuru wao kukosoa .
= kikatili
 
[/QUOTE
Mkuu kwa Tanzania ya Leo haiwezeka labda Tanzania ijayo haijulikani
 
View attachment 1200677

View attachment 1200678

Hakuna namna nzuri ya kutafakari Shambulio la Kikatiri lililoambatana na aibu kwa nchi lililofanywa na watu waoga dhidi ya Mh Tundu Lissu , kama kuifanya siku hii iwe ya kumbukumbu ya Kitaifa itakayojaa mijadala , makongamano na tafakuri nchi nzima .

Wanaharakati na watetezi wote wa haki za binadamu waichukulie siku hii kama alama ya unyama dhidi ya ubinadamu , iwe siku ya kuiambia dunia kuhusu unyama unaotendwa dhidi ya binadamu wanaotumia uhuru wao kukosoa .
Wazo mujarabu kabisa
 
Back
Top Bottom