Pendekezo: St. Francis Mbeya anzisheni elimu ya juu ya Sekondari

Ushauri mzuri

Watoto wengi wanakua wametoka vizuri Sana olevel

Changamoto huja advance.
Kushindwa kuendana na mazingira ya shule advance

Hii ni changamoto Sana,Ni vema waanzishe advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni tisa (9 ) ukinunu shamba njombe ni heka kama hamsini kwa bajeti ya milioni 6.milioni tatu inayobaki ni ya kupanda miti.baada ya miaka kumi una kisio la miti 20000. Kila mti ukiuza 10000 utapata sh., 200000000(milioni mia mbili) hapo utakuwa tajiri.Waafrika bado tunafikiri ndani ya box Elimu ni bora na pesa nibora zaidi.Tuwaandalie watoto economic freedom na sio economic servant.Karibuni mnipinge.
 
Kwetu kigoma.milioni 5 unapata heka 50 za chikichi, kupanda milioni 4 baada ya miaka 5 ( mtoto wa saint ndio anamaliza form 6) hrka mmoja itakuwa ikitoa mafuta tani 3 kwa mwaka ambayo ni milioni 3 hivyo kwa heka 50 ni sh. Milioni 150 chukulia umepata milioni 50 yani huyahudumii ipasavyo.kila mwaka mtoto wako utakuwa umemuandalis mshara wa uhakika kwa miaka 30 mpaka chikichi inazeeka.
 
Milioni tisa (9 ) ukinunu shamba njombe ni heka kama hamsini kwa bajeti ya milioni 6.milioni tatu inayobaki ni ya kupanda miti.baada ya miaka kumi una kisio la miti 20000. Kila mti ukiuza 10000 utapata sh., 200000000(milioni mia mbili) hapo utakuwa tajiri.Waafrika bado tunafikiri ndani ya box Elimu ni bora na pesa nibora zaidi.Tuwaandalie watoto economic freedom na sio economic servant.Karibuni mnipinge.
Hujakamilisha ushauri, wasisomeshe watoto? Wasomeshe kwa level gani na kiwango gani? Wasomeshe shule za bei rahisi zaidi? Hebu malizia hapo msomeshaji akuelewe ......
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ua

Ushauri wangu kama hauna economic freefom uhakika wa kopato jenga misingi ya uchumi elimu itafuata.Waarabu na wahindi wengi Tanzania huwa hawana muda sana na kusomesha bali hujenga himaya za kiuchumi.mfano kampuni ya Nchambis na Allys transport hazikuanzishwa na wasomi ila zimeajiri wasomi.Kusoma ni kuandaa mtoto wako aje awe muajiriwa wa kampuni au mtawala wa serikali.Huwezi kunielewa kirahisi kwa sababu umeishajengewa imani na wazazi wako na walimu wako kuwa ukifaulu sana ndio utafanikiwa kumbe utafanikiwa kielimu si kifedha.Elimu ni bora bali prsa ni bora zaidi
 
Kaka unaongea kitu usichokijua... Elimu kwanza hela baadae,ukiwa na Elimu utakua na mawazo on how to handle your money,bila elimu pesa itaisha tu bila kujua inaenda wapi....

Nchambis ndiyo walikua na pesa but kwa sasa ziko wapi?? Washafirisika hadi malori na mabasi kauza

Mohammed Trans yuko wapi? Kaishiwa hana hata cent mbovu mfukoni

Njoo kwa Allys is the same story,hana kitu zaidi ya mabasi mawili,matatu.... Wekeza kwenye elimu,elimu haina cha mkopo wala nini,ukishapata hadi kufa kwako, Education is the weapons,Mali ni Mzigo unaotakiwa kulindwa kwa gharama kubwa sana.....
Ua

Ushauri wangu kama hauna economic freefom uhakika wa kopato jenga misingi ya uchumi elimu itafuata.Waarabu na wahindi wengi Tanzania huwa hawana muda sana na kusomesha bali hujenga himaya za kiuchumi.mfano kampuni ya Nchambis na Allys transport hazikuanzishwa na wasomi ila zimeajiri wasomi.Kusoma ni kuandaa mtoto wako aje awe muajiriwa wa kampuni au mtawala wa serikali.Huwezi kunielewa kirahisi kwa sababu umeishajengewa imani na wazazi wako na walimu wako kuwa ukifaulu sana ndio utafanikiwa kumbe utafanikiwa kielimu si kifedha.Elimu ni bora bali prsa ni bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom