BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,335
- 1,386
CDF tayari, PM ndo badoHuu ndio muda sahihi sasa. Actually nadhani hawajawahi kutoa PM na CDF.
CDF tayari, PM ndo badoHuu ndio muda sahihi sasa. Actually nadhani hawajawahi kutoa PM na CDF.
Mnatubeba ili tunywe maji ya mandimbwi kama nyinyi. Nyinyi WENYEWE mafukara MUMBEBE NANI? baada kushuhulika kujenga nchi yenu mumeingangania zenj tu. HAMJIELEWI MAZUZU NATIONNyinyi wanywa urojo mnaweza kuimba taarab tu. Zaidi ya hapo ni takataka tu. Na mwisho wenu ni 2025. Baada ya hapo muanze kujitegemea. Maana tumechoka kuwabeba.
Nendeni mkabanane huko visiwani Kwenu mnakaa huku Tanganyika na kujitanua hafu mnaanza kujifanya hamtutaki ebo tunawabeba sana nyie kuweni na shukraniAcheni kujipa kujipa sifa za bure. Wanzanzibari wanataka kujitawala siyo kuwatawala nyie machogo. Mmejaa ubaguzi, ukabila, na udini. Nani anataka hayo maumivu ya kichwa na magonjwa ya presha za kuwatawala nyie?
Mwisho wa ukupe wenu ni 2025! Watu gani nyinyi!! Tangu 1964 mnaishi kwa jasho letu! Kha!! Tumechoka sasa.Alaaa kumbe Huwa Munatubeba yakheeeeee.
Laaa kubebwa kutamuuuuuu
Na watanganyika walivyojazia! ama kumbe weyeeeeee
View attachment 2072108
Hata mimi naona ni sawa. Wazanzibari ni viongozi wazuri? Au nasema uongo ndugu zangu?Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .
Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .
Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .
Naomba kuwasilisha .
Akazaliwa mtoto Tanzania lakini🤔.Tanganyika ilikufa lakini Zanzibar ipo
Uko sahihi !!Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .
Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .
Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .
Naomba kuwasilisha .
Hivi kwa nini hamtaki kujitenga na hivyo visiwa vyenu ili muwe mnashinda kutwa mkiogelea? Kila siku mnadeka deka tu.Na mukavunje majengo yenu ya Ofisi za TRA kule zanzibar, Ni nchi ya Zanzibar pekee duniani inalipa kodi kwa nchi 2, Wazanzibar wana ZRB kwa ajili ya maisha yao lakini kodi ya TRA zinakusanywa toka Zanzibar kwa maisha ya Watanganyika posho zao na mishahara pamoja na chakula ni kodi kutoka Zanzibar
Shenztyp wanzanzibari wanarasilimali za kutosha ndiomana lukuvi alisema mchana kweupe Zanzibar hatuwezi kuiacha sababu ndio hiyo mnapata kodi zao kwa kuendesha maisha yenu huko mkajenga hayo madaraja barabara na sgr, wanyamwezi wametapakaa zanzibar wamepewa mashamba wanalima viazi nk., hamuwez jaribu icho kituHivi kwa nini hamtaki kujitenga na hivyo visiwa vyenu ili muwe mnashinda kutwa mkiogelea? Kila siku mnadeka deka tu.
I wish ningekuwa Rais wa Tanganyika siku moja. Ndani ya miaka mitano ya uongozi wangu, ningehakikisha naumaliza ukupe wenu wote. Na msingenisahau milele kwa hilo.
mada nzuri sana lakini mnaiharibu kwa makusudiShenztyp wanzanzibari wanarasilimali za kutosha ndiomana lukuvi alisema mchana kweupe Zanzibar hatuwezi kuiacha sababu ndio hiyo mnapata kodi zao kwa kuendesha maisha yenu huko mkajenga hayo madaraja barabara na sgr, wanyamwezi wametapakaa zanzibar wamepewa mashamba wanalima viazi nk., hamuwez jaribu icho kitu
Ni huyo Lukuvi tu na ccm wenzake wachache ndiyo wanautaka huo Muungano! Tena ni kwa maslahi yao tu ya kisiasa. Ila ukweli ni kwamba, Watanganyuka tulio wengi tunatamani kuona uwepo wa Taifa moja tu!Mimi Najua Watanganyika wanamengi vifuani mwao wameyaficha ,kila wakipata nafasi kama hii huanza kutapika nyongo.
Ki ukweli Hamutaki Mzanzibari ashike nafasi yoyote kwenye Serikali ya Muungano.
Sasa Huku mukidai kuwa Tumaeungana Nchi mbili ,maana yake nini?
Huku Zanzibar wamekuwa wawazi kuwa Hawautaki Muungano ng'o ,lakini wezetu nalo hilo mukachukia, sasa sijui munataka nini?
Mara wanywa urojo, Mara Midebwedo, Mara Hamuwezi kitu! Ha ha ha ha huu ujinga mpaka lini?
Kuna Shida gani Mzanzibari akiwa Spika wa Bunge La Muungano?
Na Mzanzibari kuwa Mkuu wa Majeshi na Pengine kuwa Waziri wa fedh?
Haw wakina Lukuvi kumbe wako wengi,
Sumu ya Roho Mbaya , Nyongo inawatoka sasa.
Ili Mama atawale vizuri ni lazima atengeneze safu yake vizuri, aingize Zanzibar Gangkama Yule Mwenke alivyoingiza Sukumang.
Mta zowez tuuu
Hamuwezi kukaa taifa moja kwa sababu mmejaa ukabila, udini na ubaguzi. Hata Nyerere alisema aliutaka huo mnaouita muuungano ili machogo mpate mchawi wa kumlaumu kwa matatizo yenu ambaye sasa ni Zanzibar na msahau ukabila wenu. Mkiishi peke yenu bila ya Zanzibar za kutupia lawama zenu, mtaanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.Ni huyo Lukuvi tu na ccm wenzake wachache ndiyo wanautaka huo Muungano! Tena ni kwa maslahi yao tu ya kisiasa. Ila ukweli ni kwamba, Watanganyuka tulio wengi tunatamani kuona uwepo wa Taifa moja tu!
Hii mambo ya Tanzania sijui na Zanzibar, inaongeza tu mianya ya ulaji kwa wanasiasa.
Hakuna shida. Ondoeni majeshi yenu ya uvamizi acheni Zanzibar ijitawale. Tutaishi kama majirani tuu hakuna tatizo.Nyinyi wanywa urojo mnaweza kuimba taarab tu. Zaidi ya hapo ni takataka tu. Na mwisho wenu ni 2025. Baada ya hapo muanze kujitegemea. Maana tumechoka kuwabeba.
Kumbe unaona,huo muungano toka kuanzishwa upo kimtego kimtego.Duuu Tanganyika itakuwa inakaliwa na Zanzibar kimabavu.
Sikubaliani spika atoke Zanzibar kwa bajeti inayoongelewa inatoka Tanganyika, hakuna pesa ya Zanzibar pale, sasa iweje spika atoke huko.Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .
Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .
Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .
Naomba kuwasilisha .
dawa yao ni nchi moja tu, ama kila mtu afe na chake. . . we huwezi kuponda bara wakati wamejazana kama siafu nenda pale bandarini uone wanavyokuja kwa maelfu, sema ndio hivyo wakiwa huku hujikuta wastarabu sana ngoja uwakute huko visiwani jamaa ni wabaguzi sanaHivi kwa nini hamtaki kujitenga na hivyo visiwa vyenu ili muwe mnashinda kutwa mkiogelea? Kila siku mnadeka deka tu.
I wish ningekuwa Rais wa Tanganyika siku moja. Ndani ya miaka mitano ya uongozi wangu, ningehakikisha naumaliza ukupe wenu wote. Na msingenisahau milele kwa hilo.