Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa

Wewe unapendekeza apewe cheo gani?
 
Unajitahidi sana kupost upuuzi wako, nashukuru huwakilishi wana CCM wote .....mwenye mawazo mgando ni wewe pekee!
 
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa

Wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Naungana na wenzangu, wewe u mgojwa, na ubaya hujajua kama unaumwa!!!:rip:
 
CCM wengi wamejiandikisha wakati wa kampeni kuja kuleta upuuuzi - hivi unafikiri kwa kutumia kichwa au ma***ko.
 
tatizo lako nawengineo kama wewe mlio katika kundi la mawazo mgando
mnafikili Dr.Slaa aligombea kwa kutaka maslahi binafsi.
ni kiongozi gani kati ya wailogombea aliyeahidi kula mihogo ili wewe uondokane na mawazo mgando
ambaye huamini kuwa bila ccm utabadilishwa kimawazo na kimaendeleo
 
Ana ule ugonjwa wa mfadhaiko, ulitokea miaka ya nyuma sasa umerudi tena.
 
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa

Wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Tatizo akili yako imezongwa na hilo bui bui lako....get out of that my friend.....fikiri kabla ya kupost au unadhani ccm wote ni vilaza kama wewe?
 
Mbona ya Dr Slaa yanawasumbua sana jamani nani kakuambia nahitaji any kind of favour kutoka kwa mafisadi. Mind you own business ama nataka na yeye awe fisadi?
 
jamani heee hii ni milembe case, needs immediate attention!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa

Wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Wakuu wa Wilaya ni mashoga wa Kikwete na CCM. Pendekezo lako ni upupu mpelekee EYKEYHALISI
 
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa

Wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Hayo ni matusi ya nguoni. Rais Dr. Slaa apewe ukuu wa wilaya na wezi wa kura. Wezi kwa wezi hupeana vyeo. Malaria sugu, Burn Jeykeywaukweli wapo kazini. Unataka kuwa memba mkubwa wa JF kwa kunandika pumba?
 
kwani wewe unaonaje??
 
I think huyu jamaa afungiwe tu... we are serious and continue to bring his schizophrenic exhibitions humu ndani
 
Back
Top Bottom