Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Nawahakishia dr silaa akisimama arumeru ataanguka . Wameru ni watu wanaubaguzi wa hali ya juu . Siyo silaa tu mtu yoyote ambaye sio mmeru hawezi kupata ubunge . Meru ni jamuhuri nyingine ile.
 
swala la ubunge siyo sahii itaonekana ana tamaa na madaraka kwa ushauri wangu siafiki mzee agombe ubunge yule ni raisi wetu na n raisi mtarajiwa wa taifa hili
 
Kumbe nakuumiza kichwa eeh!! Powle sana...
Ha ha haaaa, kuna jamaa walikuulizia hapa juzi ikaonekana umehamia MMU kuchekacheka na akina Ashadii, FL na warembo wengine baada ya Nape kusitisha malipo kwa kuwa hakukuwa na propaganda. Now sasa tunaenda Arumeru najua utakuwa umeresume duty na jina lako limeingia kwenye Payroll ya Nape again. Hongera sana broda, mjini ndio tunaishi kwa magumashi namna hiyo kamaaa.
 
Dr. Slaa ni silaha ya maangamizi/silaha ya mwisho. Nashauri kama kuna mipango ya kumpa hicho kiti isitishwe mana bado tume ya uchaguzi ni babaishaji, akisimama kugombea ubunge wa Arumeru wanaweza fanya kila hila kama ilivyokawaida yao ili ashindwe then waanze kusema kama Ubunge kakosa angeweza kuwa Rais???Ili kulinda heshma yake mimi nashauri yeye akae tu kimya asimamie vijana hadi 2015 hata kama hatoteuliwa yeye kugombea urais nadhan itakuwa ni nafasi nzuri kwakwe kushika jimbo fulani. Ni mtazamo tu.
 
Wapendwa wa Chadema,
Mimi naomba Dr Slaa awanie ubunge Arumeru kusudi arudi Bungeni kuweka nguvu mpya

Bora agombee maana anaelekea kupoteza umaarufu kisiasa - duh kwa hiyo atavuta 7 milion toka chadema na mshahara wa bunge, kwa mshiko huu lazima agombee
 
Sio vibaya Slaa, akigombea ubunge Arumeru, mbona Mbowe nae aligombea urais akashindwa vibaya hakaamua kujisalimisha kwenye ubunge.

Kama Slaa, anawaza kuwa Rais wa Tanzania ni kujidanganya najua Pro-Chadema JF mtachukia mie kusema haya maneno lakini huo ndio ukweli, bora ajitose Arumeru.
 
Keshachoka kisiasa huyu..
Kwa sasa tunahitaji dam mpya za zenye nguvu bungeni na kwenye ulingo wa siasa!

ila 'vijana' wasira, lukuvi na ba mwanaasha bado hawajachoka?
Tunataka Dr. Slaa awe president hata kwa 1 term, ili tuwakomeshe m.a.gamba nyie!
 
Sio vibaya Slaa, akigombea ubunge Arumeru, mbona Mbowe nae aligombea urais akashindwa vibaya hakaamua kujisalimisha kwenye ubunge.

Kama Slaa, anawaza kuwa Rais wa Tanzania ni kujidanganya najua Pro-Chadema JF mtachukia mie kusema haya maneno lakini huo ndio ukweli, bora ajitose Arumeru.

Siku mbili tatu hizi umekuwa unaongea sense humu jamvini, hadi watu wakawa wanakusifu.
Lakini kwa post yako hapo juu naona bado ni 'yuleyule'.
Sasa ulitegemea Dr Slaa angeshinda vp Urais ili hali mlikua front kuchakachua?
Slaa is a material president...
 
Sio vibaya Slaa, akigombea ubunge Arumeru, mbona Mbowe nae aligombea urais akashindwa vibaya hakaamua kujisalimisha kwenye ubunge.

Kama Slaa, anawaza kuwa Rais wa Tanzania ni kujidanganya najua Pro-Chadema JF mtachukia mie kusema haya maneno lakini huo ndio ukweli, bora ajitose Arumeru.

Mkuu nipe mawazo yako.Unadhani Arumeru kutakuwa na siasa chafu za udini kama tulivyoshuhudia Uzini na Igunga?
 
Mkuu nipe mawazo yako.Unadhani Arumeru kutakuwa na siasa chafu za udini kama tulivyoshuhudia Uzini na Igunga?

Mkuu Molemo,
Ebu tujadili kwanza bila kuweka neno udini, hatuwezi kuhukumu kitu ambacho hakijatokea kama Arumeru kutakuwa na udini tutajadili humu JF mkuu.

Tusianze kutumia hisia...
 
Dr ndiye mwenye neno la mwisho katika hili...plus naunga mkono wote wanaosema kuwa Slaa ana kazi kubwa katika chama na si kurukaruka kutafuta kazi ya ubunge jimbo ambalo sio lake wala hakai huko. Wako watu mahiri wa CDM huko Aru-East....
 
Mbona Shibuda, mbowe,mrema na mwandosya walihi kugombea huo Urais wakadunda wakaenda kwenye ubunge

Ndugu,

Ni lini Mh. Shibuda na Mh. Mwandosya waligomea urais, tunapenda kupotosha jamii eehee?

Ubunge wa Arumeru upo chini ya sio saizi ya Dr. Slaa! Muache aimalishe chama
 
Mkuu Molemo,
Ebu tujadili kwanza bila kuweka neno udini, hatuwezi kuhukumu kitu ambacho hakijatokea kama Arumeru kutakuwa na udini tutajadili humu JF mkuu.

Tusianze kutumia hisia...

Hapana mkuu wangu,unajua kampeni za Igunga na Uzini zilinikera sana.Watu wazima na akili zao wanatembeza vikaratasi vya kihuni mitaani kubagua baadhi ya vyama kwa misingi ya udini.Tusipojadili hili mkuu kuna hatari pia ya kutokea huko Arumeru.Tutagawa nchi yetu vipandevipande kwa sababu tu ya uroho wa wahuni wachache
 
ila 'vijana' wasira, lukuvi na ba mwanaasha bado hawajachoka?
Tunataka Dr. Slaa awe president hata kwa 1 term, ili tuwakomeshe m.a.gamba nyie!
Wewe na akina nani mnaotaka Slaa awe president!?
 
wetu wengine matatizo matupu..eti Dr.slaa kaishiwa sera anaongelea Ufisadi...yaani hauju ufisadi ndio umetufikisha hapa..!?
Nani wa maana kati ya Dr.slaa aneubili ufisdi na KIKWETE anayeubili udini...?
 
Hi thread imeanzishwa, na inashabikiwa, na maadui wa CDM. Wanataka Slaa aingie kwenye shindano la Arumeru ili wammalize kwa kutumia Tume ya Uchanguzi. Wanajua wakimmaliza Arumeru, hataweza kufurukuta tena 2015 kwenye Urais au hata Ubunge.

Nadhani Slaa ajikite kwenye mambo ya Katiba Mpya zaidi. Kwa sasa, CDM walio bungeni wanamwakilisha vya kutosha. Kwanza akirudi bungeni na kuanza kuongea kama akina Lissu na Mnyika atapotenza muonekano wake wa ki-Rais.
wala usihangaike mkuu, DR. ni mtu makini sana na ndiyo maana anawanyima usingizi kila kukicha wanajaribu kutafuta jambo kumwondolea umaarufu ila cha ajabu ndiyo wanamwongezea tu; mambo haya anapanga mwenyezi wacha wahangaike. Kinachowauma zaidi Dr anapendwa na wananchi zaidi ya 80% kote nchini sasa hilo ndiyo linawachanganya kabisaa -- nafikiri cha msingi ni kuanza kutafuta mtu wa kuchapisha zile karatasi za kura - sasa hvi zitoke china. :lol:
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom