PENDEKEZO: Serikali ipunguze Watumishi wa umma kubana matumizi

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,281
10,794
Ni ukweli usiopingika kuwa zaidi ya nusu ya mapato ya Serikali hueda kulipia mishahara ya watumishi wa umma, ningependekeza serikali ipunguze idadi ya wafanyakazi, ikiwemo kwenye balozi zetu huko Ughaibuni.
PICHANI: Wafanyakazi lukuki kwenye ubalozi wetu, Nairobi, Kenya. Sijajua ufanisi wa wafanyakazi wooote hawa kwenye ubalozi wetu hapo jirani tu Kenya.
** STAR LOOK ALIKE
 
Attachments

  • NAIROBIubaloz.jpg
    NAIROBIubaloz.jpg
    60.7 KB · Views: 118
wapunguzwe wamezidi kelele kudai nyongeza ya mshahara huku kazi hawafanyi
 
Ili mpate hela za kutekea watu?
Buku 7 at work. Wafrika tutaendelea kuwa masikin sana km watu wengi watakuwa na mawazo km yako.
Pole sana. Eti bana matumiz? Unaota ww, hiyo bana matumizi ni kwa watu km ww Bashite ndiyo wanaweza kuamini ujinga wa ccm.
 
watumishi wa umma ni wengi ajabu, wengi wanaenda kazini kupumzika wakisubiria mishahara tu. wapunguzwe tu enzi hizi za kompyuta eti kaajiriwa mtu mpiga chapa.
Km ww ni nyota yako ya punda utakuwa mbeba mizigo miaka yote. Kuna watu wanamawazo ya kimasikini sana.
Pole sana. Bora ungekuwa condom bora ungetusaidia kupunguza mimba zisizotarajiwa na ukimwi.
 
watumishi wa umma ni wengi ajabu, wengi wanaenda kazini kupumzika wakisubiria mishahara tu. wapunguzwe tu enzi hizi za kompyuta eti kaajiriwa mtu mpiga chapa.
Ingekuwa
Wana hela ya kuwalipa?

Kama mmeshindwa kuongoza, muwapishwe wenye uwezo.
Ni ukweli usiopingika kuwa zaidi ya nusu ya mapato ya Serikali hueda kulipia mishahara ya watumishi wa umma, ningependekeza serikali ipunguze idadi ya wafanyakazi, ikiwemo kwenye balozi zetu huko Ughaibuni.
PICHANI: Wafanyakazi lukuki kwenye ubalozi wetu, Nairobi, Kenya. Sijajua ufanisi wa wafanyakazi wooote hawa kwenye ubalozi wetu hapo jirani tu Kenya.
Naona hata sekta nyingi zina watu wengi bila ufanisi mfano police traffic,zimamoto,mabwana shamba na mifugo,nk. Hizi kazi,wangepewa watu binafsi kwa njia ya uwakala. Kwa mabwana shamba na mifugo vijijini wengi ni wazururaji wa kujifanyia mambo yao. They are not efficient
 
Mtoa uzi unashida ya kufikiri, watumishi waliopo serikalini hawatoshi wewe unasema wapunguzwe, huduma Za mawakala anazozisema Kididimo nani atagharamia? Maafisa wa serikali hawatumiki ipasavyo kwasababu serikali imeshindwa kutoa facilities mg. Bw.Shamba anapaswa awe na vifaa, posho usafiri na kadhalika lakini serikali imemPa pikipiki bila hata hela y service wala mafuta so atajizururia kutafuta namna ya kupata mahitaji, serikali inalazimisha kuku wa kienyeji kutaga bila jogoo
 
Mzazi aliyekuzaa ana hasara sana. Bora ungekuwa hata ungekuwa CONDOM ungetumiwa na wazinz kuliko mambo unayofikiria.
Ningekuwa mzazi wako, ningekutoa kafara nipate utajiri sbb hauna faida
Huku kunawatu wazima na wastaarabu tusiopenda kusoma uchafu...ombaneni namba za simu mtukanane wawili sio kutuharibia siku kwa maneno yako ya kishetani.
. Kuhusu mada huyu mtoa mada Hana welewa wakutosha,kifupi ni mjinga maana nchi inaupungufu Wa walimu,madaktari,manesi,maafsa kilimo nk. Sasa wafanyakazi wapunguzwe vipi? Labda useme wagawanywe kwenye majukumu ipasavyo
 
Ni ukweli usiopingika kuwa zaidi ya nusu ya mapato ya Serikali hueda kulipia mishahara ya watumishi wa umma, ningependekeza serikali ipunguze idadi ya wafanyakazi, ikiwemo kwenye balozi zetu huko Ughaibuni.
PICHANI: Wafanyakazi lukuki kwenye ubalozi wetu, Nairobi, Kenya. Sijajua ufanisi wa wafanyakazi wooote hawa kwenye ubalozi wetu hapo jirani tu Kenya.
Kupunguza kunahitaji fedha. Nani atalipa? Pspf itafilisika
 
Back
Top Bottom