Pendekezo: RC Antony Mtaka ateuliwe awe Waziri wa TAMISEMI

Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa

Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma

Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara

Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana

Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Huyu jamaa anafaa kuwa waziri mkuu,ila nchi hii ilivyo na wachawi,watu kama yeye wanapigwa vita sana,
 
Mtu akijua sana kuongea maneno matamu unaamini kuwa ni kiongozi mzuri? kwa hiyo Ummy kaharibu nini? Namuona Mtaka kuwa ni kiongozi sawa lakini ni mtu wa falsafa zaidi kuliko matendo ndo maana hata Simiyu mradi wa Barabara kutoka bariadi hadi maswa ni ubababishaji tu hakuna ukamirishaji.
Acha uchawi mkuu
 
Ana mapungufu yake lakini anajitahidi sn ukilinganisha na hawa akina Ndugai
 
Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa

Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma

Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara

Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana

Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Huyu jamaa anafaa kuwa Waziri Mkuu
 
Ana mapungufu makubwa lakini kwa wingi wa bahati mungu kamsaidia uwezo mzuri wa kupanga maneno. Ila kama ukimpenda Kikwete utampenda huyu pia. Wanafanana karibu kila kitu kasoro wanatoka sehemu tofauti. Big mouth which speak what would be seemed sense, but poorly on implementation.
 
Back
Top Bottom