Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

Hawa dada zetu wamebaki kuwa voice of the voiceless. Unapokuwa na bunge la chama kimoja, vyama vya upinzani dormant, vyombo huru vya habari taabani, mikutano ya kisiasa marufuku tunahitaji wanaharakati jasiri walau sauti mbadala ziwepo.
 
EFF THIS ARTICLE...
Yaani kigogo umuweke rasmi sasa kwenye system auze siri za nchi vizuri...
Hao madada kuna sababu ya msingi hawajaolewa wala hawana watoto...
 
Hawa wajinga wajinaga wakiongozwa na Lissu siku wakiwa part ya hii serikali basi nitaamini kabisa Rais Samia alikuwa ana watuma wamtukane Hayati Magufuli akiwa Rais!

Yani hawa wajinga wasaliti wawe part ya government kwa watu wamekosekana wenye sifa? Yani hawa hawapaswi hata kumsogelea Rais maana watamchafua!
 
Watanzania ni watu wa hovyo sana yani mtu kupiga kelele mtandaoni tayari ashafaa kuteuliwa. Wewe unamshauri mama asiwakubali watu wa vetting ila unataka akuamini wewe unknown kutoka mitandaoni.
Upumbavu tu.
Hao wa vetting si ndiyo wamemwaibisha Rais kwa kumsukumia jina la Mwesiga, Mhaya kuendeleza ukanda wa Mwendazake, mwenye PhD ya jalalani ya masomo ya jioni katika Chuo kisichojulikana? Rais alifanya kosa angesafisha kwanza Ikulu.
 
Hao wa vetting si ndiyo wamemwaibisha Rais kwa kumsukumia jina la Mwesiga, Mhaya kuendeleza ukanda wa Mwendazake, mwenye PhD ya jalalani ya masomo ya jioni katika Chuo kisichojulikana? Rais alifanya kosa angesafisha kwanza Ikulu.
Sawa mr presidential advisor
 
Mmh. Mbona watanzania wanawake smart wapo wengi tu na role models wazuri na wana IQ na EI tena za juu. Au labda kwa sababu hawashindi Twitter republic?
 
Mtoa post hujui mambo mengi sana fanya tafiti usiwe unakisia kisia mambo
 
Back
Top Bottom