Pendekezo: Pori la akiba la pande ligeuzwe kuwa Dar es salaam National Parks

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Ni pendekezo tu kisha waweke wanyama tulivu kama twiga,pundamilia swala humo ndani na ili kudhibiti wanyama wasiingie kwenye makazi ya watu wanwaweza kuzungusha fensi ya wavu kuzunguka
Mbuga heka 1226 zinatosha kabisa kuwa na mbuga ndogo ambayo itachochea uchumi wa dar es salaam
 
Mleta hoja fuatilia vizuri kipindi fulani nilimsikia Mh. H. Kigwangala akisema kuna mpango wa kuweka zoo pale.
 
Ni pendekezo tu kisha waweke wanyama tulivu kama twiga,pundamilia swala humo ndani na ili kudhibiti wanyama wasiingie kwenye makazi ya watu wanwaweza kuzungusha fensi ya wavu kuzunguka
Mbuga heka 1226 zinatosha kabisa kuwa na mbuga ndogo ambayo itachochea uchumi wa dar es salaam
Labda ufuge twiga mmoja. Unajua twiga anakula kiwango gani cha majani na maji kwa siku au ilo pori umeliona kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni pendekezo tu kisha waweke wanyama tulivu kama twiga,pundamilia swala humo ndani na ili kudhibiti wanyama wasiingie kwenye makazi ya watu wanwaweza kuzungusha fensi ya wavu kuzunguka
Mbuga heka 1226 zinatosha kabisa kuwa na mbuga ndogo ambayo itachochea uchumi wa dar es salaam
Hata pori lililoko kati ya Kongowe na Mkuranga lingependeza liwe hifadhi
 
Ni wazo jema lakini nature ya eneo inasemaje?,je pana maji ya asili?,ifi not hiyo itakuwa ni zoo.
Maji kutokana na hali ya eneo mito mingi unaweza mmoja ku by cross pale inawezekana au hata kujenga ya asili zoo unajua maana yake? Wanyama huwa wanakuwa wamefungiwa wengi wao kama dar es salaaam zoom
 
Mtu anatoka Marekani, Australia au England anakuja kuona wanyama Tanzania ...

Wewe uko Dar unashindwa kwenda hapo mikumi Tena nauli ya Dar -Moro ni 7000 na kiingilio mbugani Ni 11,000....

Wanaume wa Dar Bana ndio maana mnakamuliwa juice ya miwa hamuwezi kutafuna muwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi kuna mbuga katikati ya jiji acha ushamba bana usizan kila mmoja ana pesa ya kwenda mikumi au muda mbuga ingekuwepo
Hapa dar siku za skukuu ama weekend watu wangekuwa wanamiminika maana gharama zingekuwa chini kuliko kwenda mikumi sijui saadan
 
Hali ya hewa ya Nairobi unataka kuilinganisha na Dar kweli ?? Au unadhani wanyama huwa hawajali Hali ya hewa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi cha nyuma Dar kulikuwa na Zoo...ilitangazwa sana kwenye Tv....siku hizi haisikiki kabisa.
 
Back
Top Bottom