Pendekezo: Mwita Waitara atolewe kwenye Unaibu Waziri

Huyu Magufuli alimuweka kuwakomoa chadema. Ni makubaliano ya uasi kuwa atapewa unaibu waziri akihasi Chadema. Hivyo Samia anaweza akamuondoa maana mwenye biashara Mwendazake hayupo.
Kwa taarifa yako Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitra amepata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwak
 
Dharau za mawaziri kwa wabunge zinaonekana dhahili. Mimi uwa nawapima unyenyekevu na heshima yao wanapotakiwa kujibu maswali. Sio adabu kwa aliyefundwa kujibu swali wakati bega moja limeshushwa kimadaa na kamkono kamoja kameegemezwa kwenye meza. Chunguzeni vizuri kwa mawaziri wote wanapojibu swali, kuna kadharau Fulani nakaona. Sijawai kuona Raisi yeyote anamtindo huo wa kusimama na kuhutubia jukwaani.
Wamejawa na malingo hawa watuuuu,,,,,
Wabunge wenyewe hao yaani" wabunge posho"
 
KAMA TAIFA NI WAKATI MUAFAKA WA KUJADILI NA KUJIPANGA NI NAMNA GANI TUTAMLINDA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN DHIDI YA NJAMA ZA WAFUASI WA MWENDAZAKE AMBAO WENGINE MAMA AMEENDELEA NAO KWENYE UONGOZI.

PIA MJADALA WA AINA HIYI HIYO UWE NI NAMNA GANI TUNAJIPANGA KAMA TAIFA KUMLINDA MAMA YETU SAMIA SULUHU HASSAN DHIDI YA NJAMA ZA BUNGE KUMKWAMISHA RAIS WETU SAMIA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE. MBAYA ZAIDI NJAMA HIZO ZINAONGOZWA NA SPIKA NA WASAIDIZI WAKE.

MAKAMU WA RAIS MWENYEWE HAYUPO PAMOJA NA BOSI WAKE. SOTE TUNAJUA KUWA YEYE NI MFUASI LIALIA WA MWENDAZAKE. NI MIONGONI MWA MAWAZIRI SPECIAL WA MWENDAZAKE, YEYE NA YULE ALIYETOLEWA JALALANI, PROF. MAPOVU MDOMONI.
Tangu lini CHADEMA watoe ushauri mzuri kwa kiongozi wa CCM. Raisi hafanyi kazi kwa hulka ya mitandao. Kama unataka kumwambia cha kufanya, yeye alijuwa kabla yake. Kufanya hivyo ni sawa ni kumuona mjinga. Raisi ana akili zake za uchambuzi hawezi kuwasilikiza wazushi kama ninyi.
 
Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni
Wewe unayemtuhumu rudi uangalie vizuri ulichoandika,


JONA


MZAA


Ndo mambo gani haya⁉️⁉️⁉️⁉️‼️‼️‼️‼️⁉️⁉️⁉️‼️‼️🤔👌👌👌
 
Anaendelea kudemka kwa style yake.
Huyo ataliwa kichwa/atazinguliwa
Error ni kawaida kwa Binadamu. Kuna Mazingira hata Jina lako unaweza ukalisahau na ukalitaja la Mpenzi wako. So Overjoy sometime inakuwaga hivyo.
Tatizo Wanasiasa vitu vidogo ni siasa kwako.
 
Wanasiasa_tuache_kucheza_na_Madhabahu_ya_Mungu..!...%C2%A0lis%C3%A4%C3%A4.jpg
 
Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.

Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze.

Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.

Na uongozi wa Bunge badala ukemee mambo kama haya wanabaki kuwanenea mabaya Mawaziri wacahapa kazi Kama Mwambe kisa tu wameamua kusimamia kile wanachoamini kitaaluma. Mhe. Rais hapa huna NW bali yupo mlevi mmoja
Yanetimia !!
 
Back
Top Bottom