Pendekezo: Mwita Waitara atolewe kwenye Unaibu Waziri

Ni aibu na dharau iliyopitiliza halafu tunasema tuna wabunge wanaiwakilisha shida za wananchi kweli,hata Mimi ningekuwa mpiga kura wa Jimbo lake namkana ni wakati wa rais kutazama Baraza lite la mawaziri.
 
Amwache tu maana yeye mwenyewe mama tunamwambia hayo masalia ya mwendazake yatakusumbua hasikii.
Huwezi ukahamia nyumba ukafanya usafi na kupanga vitu kwa siku moja. Taratibu unapanga kwa step by step. Hata ingekuwa wewe isingekuwa rahisi kusafisha kwa kiasi hicho unachotaka.
 
Huyo naye labda ni kati ya wale 60% tulivyoambiwa...
Kabisa, ukitaka kuorodhesha watendaji wabovu kwenye serikali hii, lazima uanze na hili dude linaitwa Mwitta Waitara, jamaa hajawahi kukubalika tangu aasi Chadema. Haiwezekani NW mzima uwe mlevi kiasi hicho, Mama Samia msaidie huyo NW wako, hukutakiwa kuanza naye, na kwa vile alibahatika kuwamo kwenye timu uliyoanza nayo, basi, mpumzishe. Kama ulivyosema "tutaona huko mbeleni tutakaoenda nao"

Hebu ona sasa NW mzima unashindwa hata kutaja jina la Raisi wako, unasonya kisha unazima mic na kuondoka!!! Hiii ni aibu ya kiwango cha lami kwa mamlaka ya uteuzi. Something has to be done! (Wekamo na kakiinglishi kidogo kuonyesha msisitizo)...
 
True. Rais asipoangalia mambo yatamuia vigumu huko mbeleni. Hawa Jamaa wanamjaribu kidogo kidogo.... Sasa ni muda muafaka wa Ku respond kabla mambo haya kawa out of control. Huu upuuzi mbona hatukuona wakati wa JPM?
 
Amekosa heshima kwa raisi na kwa kazi yake , Hii Ndio matokeo ya kuzoea kazi

Napendekeza mishahara ya wabunge ipunguzwe walipwe robo ya wanayopata sasahivi na mawaziri / manaibu wapate mshahara mmoja sio miwili kwa maana ya ubunge na uwaziri/ naibu waziri
Ili ela inayopatikana walipwe madaktari, manesi na walimu
 
True. Rais asipoangalia mambo yatamuia vigumu huko mbeleni. Hawa Jamaa wanamjaribu kidogo kidogo.... Sasa ni muda muafaka wa Ku respond kabla mambo haya kawa out of control. Huu upuuzi mbona hatukuona wakati wa JPM?
Sure, enzi za Mwamba, mtu alijikanyaga kwenye kiapo tu, akaachana naye mara moja, ije kuwa hii ya kuonyesha ulevi na dharau??!!
 
Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.

Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze.

Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.

Na uongozi wa Bunge badala ukemee mambo Kama haya wanabaki kuwanenea mabaya Mawaziri wacahapa kazi Kama Mwambe kisa tu wameamua kusimamia kile wanachoamini kitaaluma. Mhe. Rais hapa huna NW bali yupo mlevi mmoja
umeandika jona badala ya jina.
 
Huwezi ukahamia nyumba ukafanya usafi na kupanga vitu kwa siku moja. Taratibu unapanga kwa step by step. Hata ingekuwa wewe isingekuwa rahisi kusafisha kwa kiasi hicho unachotaka.
Sasa wewe unampa ushauri gani kwa hawa wateule wake aliowaridhi toka kwa mwendazake ambao hata jina lake hawalijui na hawawezi hata kulitamka?
 
Yaani hawezi kutoa woote at per, ila km kuna walakini,shida km hizo za hao wanaofanya mchezo kwenye wajibu unamtoa fasta.
 
Wewe mwenyewe huistail kua mchangiaj humu jamiforums ifike Hatua mods waangalie Nan na Nan wachangie Yan mtu mzima na akil timam unashindwa kuandika Jina badala yake unaandika Jona how
Na wewe pia sio 'haustail' andika 'haustahili'.
 
Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.

Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze.

Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.

Na uongozi wa Bunge badala ukemee mambo Kama haya wanabaki kuwanenea mabaya Mawaziri wacahapa kazi Kama Mwambe kisa tu wameamua kusimamia kile wanachoamini kitaaluma. Mhe. Rais hapa huna NW bali yupo mlevi mmoja
Kwa kweli nilishangaa sana huyu ndg. Naibu Waziri ambaye ni msomi wa ngazi ya shahada kushindwa kutamka Jina la Mheshimiwa Rais Bungeni. Hapa umeisingizia pombe kwa kweli; walevi wakisha piga maji wana kawaida ya kuwa makini zaidi kwenye lugha na hata kama kiingereza huwa hakipandi huwa kinateremka kama maji. Huyu Naibu Waziri atakuwa ana matatizo makubwa zaidi ya kimsingi na anahitaji zaidi ushauri nasaha.
 
Hv enzi za shujaa Kuna waziri aliyekua anakosea kutaja jina lake na ni refu kuliko la Mh Raisi Mama Samia Suluhu Hassan
 
Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.

Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze.

Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.

Na uongozi wa Bunge badala ukemee mambo Kama haya wanabaki kuwanenea mabaya Mawaziri wacahapa kazi Kama Mwambe kisa tu wameamua kusimamia kile wanachoamini kitaaluma. Mhe. Rais hapa huna NW bali yupo mlevi mmoja
That was a bad behaviour and he didn't even seems to care.
 
Kama kweli hili limetokea Bungeni na ikadhihilika huyu Naibu Waziri mlevi ameonesha utovu wa nidhamu kwasababu ya ulevi wake; Rais hana budi kutengua uteuzi wake bila kuwa na muhari ,kama mwendazake alivyomtengua rafiki yake mpenzi aliyekuwa waziri wake wa mambo ya ndani [ Kitwanga] kwa kuingia Bungeni akiwa amelewa!! Tabia kama hiyo haina muhari ni kufukuzwa tu.
Mbona Tulia aliishiaa kucheka tu? Ni kweri nimeona na hakuomba radhi na sio Leo ni jana
 
Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi.

Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze.

Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja jona la mteule wake na kuzima mic kisha kuondoka ni ishara ya wazi kwamba mzaa umezidi Bungeni.

Na uongozi wa Bunge badala ukemee mambo Kama haya wanabaki kuwanenea mabaya Mawaziri wacahapa kazi Kama Mwambe kisa tu wameamua kusimamia kile wanachoamini kitaaluma. Mhe. Rais hapa huna NW bali yupo mlevi mmoja
nimemsikia eti mh.mama luhuusu,dah kweli pombe siyo chai,amchome kwenye hotuba yake ya kesho huyu mlevi hafai
 
Kabisa, ukitaka kuorodhesha watendaji wabovu kwenye serikali hii, lazima uanze na hili dude linaitwa Mwitta Waitara, jamaa hajawahi kukubalika tangu aasi Chadema. Haiwezekani NW mzima uwe mlevi kiasi hicho, Mama Samia msaidie huyo NW wako, hukutakiwa kuanza naye, na kwa vile alibahatika kuwamo kwenye timu uliyoanza nayo, basi, mpumzishe. Kama ulivyosema "tutaona huko mbeleni tutakaoenda nao"

Hebu ona sasa NW mzima unashindwa hata kutaja jina la Raisi wako, unasonya kisha unazima mic na kuondoka!!! Hiii ni aibu ya kiwango cha lami kwa mamlaka ya uteuzi. Something has to be done! (Wekamo na kakiinglishi kidogo kuonyesha msisitizo)...

..hebu leteni mkanda mzima wa video na siyo sekunde chake kama hii clip iliyoletwa.
 
Back
Top Bottom