Pendekezo: Mwili wa Hayati Mwl. J.K Nyerere ufukuliwe kama Yasser Arafat

Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,700
1,084
Ndugu Wanabodi.

Nimefuatilia vyombo mbalimbali vya habari siku ya leo,habari kuu ikiwa ni kufukuliwa kwa mabaki ya aliyekuwa kiongozi kipenzi cha wapalestina Hayati Yasser Arafati kutokana na malalamiko kwamba aliuwawa kwa sumu hivyo umefukuliwa ili kufanya uchunguzi upya kubaini kama kweli alipewa sumu ambayo ni mionzi ili wahusika wachukuliwe hatua.

Sasa pendekezo langu ni kwamba,hapa Tanzania kumekuwa na manung'uniko ya Muda mrefu Tangu kufariki kwa Baba wa Taifa hili ambaye pia alikuwa ni rais wa kwanza wa Tanganyika na baadaye Tanzania Mwl Julius K.Nyerere kwamba hakufa kwa mapenzi ya MUNGU bali alipewa sumu akiwa uingereza au kabla ya kwenda uingereza alikofia hata kufikia hatua kwa baadhi ya wanasiasa kurushiana maneno makavu jukwaani.

Sasa ili kuondoa utata huo ni kwa nini mabaki ya mwili huo yasifukuliwe ili uchunguzi ufanyike upya na kama ni kweli Mwl Nyerere alipewa sumu hatua zichukuliwe kwa faida ya Tanzania na familia yake? Ni mtazamo tu au wadau mnasemaje kuhusiana na hili? Najua uzi utawapa kigugumizi mods lakini naomba mnitendee haki.
 
sokoine nae tungependa kujua kama nae alikufa kweli kwa ajali au alipigwa risasi . huyu ndio awe wa kwanza kufufuliwa kabla ya yeyote yule.
 
Hiyo ishu ikikaziwa macho wahusika wanaweza kuvamia kaburi ili wafiche kwingine masalia
 
Na Amina Chifupa pia. Ile kasi ya ugonjwa wake hadi umauti unamfika ulitia shaka.
 
Mitanzania mingine ni kama misukule, yaani imekosa kabisa akili kila kitu kudandia tu!. Usishangae ukasikia majitu yanazusha tene eti kuanguka bafuni kwa Dr. Slaa kufanyiwe uchunguzi kwani huenda Josephine alilazimisha mzee awithdraw hivyo Dr. akajikuta anamwaga chini na bahati mbaya akayakanyaga na kuteleza hadi chini, ebooooooo!
 
Tubadilshe chama kinachounda serikali kwanza ili mambo kadhaa yawezekane.

This is a private matter! The family of the late Mwalimu should be made to understand that the Wise Man and Father of the Nation was brutally mudered in the first place.
Those who killed Mwalimu are still around. It is going to haunt them to there graves. They are all known. I wouldn't like to name them. The person who decided to take him to UK should be lynched with a necklace tire. The million dollar question is who can do it. Let the Nyerere's come up we patriots can do it but we need a starting point. Otherwise no exhumation Let Mwalimu RIP.
 
Mafisadi hawawezi kukubali wanajua vizuri chanzo, ndio maana kuuzwa kwa migodi kulifanya wakati mazishi ya mwl.Nyerere yakiendelea..R.I.P NYEREREHAKI
 
Wew kwan 2mekosa kaz mpaka 2fukue mwl wa nyerer? Hebu kuwa na fikra pevu bwana.
 
This is a private matter! The family of the late Mwalimu should be made to understand that the Wise Man and Father of the Nation was brutally mudered in the first place.
Those who killed Mwalimu are still around. It is going to haunt them to there graves. They are all known. I wouldn't like to name them. The person who decided to take him to UK should be lynched with a necklace tire. The million dollar question is who can do it. Let the Nyerere's come up we patriots can do it but we need a starting point. Otherwise no exhumation Let Mwalimu RIP.

unadanganya umma wew hebu fikiri kwa kina.
 
Duh,

Nilivyokuwa nasikiliza BBC leo asubuhi na kusikia Arafar kafukuliwa nikajisemea sasa hivi tutasikia watu wanataka Nyerere naye afukuliwe.

Na kweli.

Hatupitwi!

hapo umegusa pabaya mzee alikuwa mzima alitakiwa kwenda kucheki afya tu,wakammaliza ili wauze madini,ila mbona familia haisubuki kuhoji?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Tukisema hivyo hapa TZ mbona tutafukua makaburi yote? maana karibu viongozi wote waliokwisha kufariki wamekufa ki hila hila tu!
 
Waingereza ni wajanja sana,kama walimpa sumu, basi watakuwa walitoa utumbo, kama walivyomfanyia Mtwa Mkwawa, na pao hata akifukuliwa leo hutapata kitu hapooooo
 
Back
Top Bottom