Pendekezo: Mwili wa Hayati Mwl. J.K Nyerere ufukuliwe kama Yasser Arafat

Kwenye hayo mauaji msekw na mkap hawatakosekana...

''Tulikuwa nae siku zote za mapambano''' Nyerere mwalimu....uuuu! mwalimu Nyerere......
 
hili nalo neno!
Hivi kwani alizikwa?

utawafanya chama tawale waangue kilio kikubwa cha kukumbushiwa machungu ya mpendwa wao. na mtalaaniwa nyie mnaotoa hayo mapendekezo kuwa mnaingilia familia na hapo lazima cdm wataambiwa ndio wanaoasisi habari hizi za kuondoa amani nchini, pia mtaambiwa hamna imani-kuwa mumwachie Mungu yote ndio awezaye yote. kwa kifupi hamtakatisha kupata kibali cha hayo yote. muwe wapole tu
 
Hoja ina mashiko maana niliwahi kumskia mmoja wa madaktari bingwa alidai kuwa kwa heshima waliyokuwa nayo kwa Nyerere wangeweza kumtibu wenyewe na alishangaa wanampeleka uingereza bila hata kupitia mhimbili. Halafu hii hoja hii likitokea la kutoa Prof. Mwakyusa itakuwaje? Japo dunia kwa ujumla wake haki imepungua sana. lakini kwa kitendo hiki cha kufukua mwili, kinatia moyo kuwa vita dhidi ya uzalimu haiishi kirahisi kama wadhalimu wanavyotaka tuamini.
 
This is a private matter! The family of the late Mwalimu should be made to understand that the Wise Man and Father of the Nation was brutally mudered in the first place. Those who killed Mwalimu are still around. It is going to haunt them to there graves. They are all known. I wouldn't like to name them. The person who decided to take him to UK should be lynched with a necklace tire. The million dollar question is who can do it. Let the Nyerere's come up we patriots can do it but we need a starting point. Otherwise no exhumation Let Mwalimu RIP.
Nyerere was diagnosed as suffering from Leukemia and he was counseled and for years he was living well aware of his disease. The problem with we African is that we do not want to talk anything that can create anxiety even if that thing is real.Chavez mentioned in public that he is going to Cuba for cancer therapy here at home an epileptic patient can go for a driving license.
 
Prof. Chachage,kolimba,na ...............................kwanza
 
Duh,

Nilivyokuwa nasikiliza BBC leo asubuhi na kusikia Arafar kafukuliwa nikajisemea sasa hivi tutasikia watu wanataka Nyerere naye afukuliwe.

Na kweli.

Hatupitwi!

Ni swala la muda tu.
 
#Unanikumbusha ya mkapa na vicent nyerere!

Nakumbuka mpaka Mkapa aliomba kupatanishwa na Vicent na kukubali yaishe Pale Vicent aliposema ni kwa nini baba yetu alipelekwa uingereza badala ya China ambao ndio ulikuwa msimamo wa familia.
 
sokoine nae tungependa kujua kama nae alikufa kweli kwa ajali au alipigwa risasi . huyu ndio awe wa kwanza kufufuliwa kabla ya yeyote yule.

Ni Suala la Muda.
 
Kazi kweli kweli.hata babu yangu Yusuph Malimi Kauzeni aliyefariki 1997 katika kijii cha Magoweko, kata ya Itaga mkoani Tabora naye afukuriwe na afanyiwe uchunguzi yakinifu ili kubaini ukweli kwa kuwa mimi na wanandugu wengine hatuamini kama kweli alikufa kwa ugonjwa wa malaria!!!
 
Nani atalipia gharama hizo?????? Na je nchi itafaidika nini na matokeo ya ufukuaji huo. Tafuteni maisha vijana mambo ya palestina na bbc mbona mbali sana huko. Kuna watu hata uhakika wa kula hawana harafu mnataka kufukua ma skeleton
 
Mitanzania mingine ni kama misukule, yaani imekosa kabisa akili kila kitu kudandia tu!. Usishangae ukasikia majitu yanazusha tene eti kuanguka bafuni kwa Dr. Slaa kufanyiwe uchunguzi kwani huenda Josephine alilazimisha mzee awithdraw hivyo Dr. akajikuta anamwaga chini na bahati mbaya akayakanyaga na kuteleza hadi chini, ebooooooo!

Hayo ndio mawazo mgando uliyonayo wewe na wadhalimu wenzio
 
Back
Top Bottom