Pendekezo: Mnyika na Ben Saanane warithi nafasi ya ulezi wa CHADEMA kanda ya Magharibi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
JF......!

Mimi kama mwanabadiliko napendekeza chama kiwateue makamanda John Mnyika na Benard Saanane warithi nafasi ya Zitto Kabwe ya ulezi wa CHADEMA kanda ya magharibi katika mikoa ya Tabora, Katavi na Kigoma.

Naamini kutokana na uwezo mahiri ya wanasiasa hao vijana machachari wasio na chembe yeyote ya unafiki, CHADEMA itaweza kuimarika zaidi ktk kanda hii hasa Tabora ambapo kumekuwa hakuna vuguvugu kubwa la mabadiliko ukilinganisha na mahali pengine nchini.

Shardcole@Tabora1
 
Nadhani tabia za hawa wote unazijua hao watu hawatabaki wataisha kwa sumu kama watu mda wote wako na sumu mfukoni halafu unawapa kulea watu hao watu unawatakia nini.
 
Ni kweli wanafaa, lakini tambua kwamba huko huko kanda ya magharibi kuna makamanda wa ukweli ambao wamefanya kazi nzuri kuliko hata huyo Zitto anayejitokeza kwa mwaka mara moja.

chama itafanya wanachoona inafaa
 
Kwanza sifa hawana wote wanafaa kutumikishwa kama wanavyotumikishwa sasa pale chadema makao makuu mara kumwinda zitto mara kutoa matamko ya uzushi kwenye jamii uongozi hawauwezi.
 
Pole unakwenda kwenye kiza kinene kweli.
 
JE WANAKUBALIKA HUKO?KANDA YA MAGHARIBI,MAMBO HAYA YASIFANYWE KWA KUKURUPUKA JAPO MLEZI WA AWALI ANA 2FACE LAKINI BADO NAAMINI KWA NJIA YA KUKAA KUJADILIANA KUWEKANA WAZI OPENNESS NDIO NJIA SAHIHI,zitto bado ni mtu muhimu WEKANENI WAZI,DHIBITIANENI NDANI YA CHAMA,LISHANENI YAMINI NA VIAPO :peace:
 
Toa upumbavu hapa, tabora siyo kama unavyofikiri ww. Wote saa8 na mnyika waganga njaa tu, watanzania tumechoka kudanganywa ebo!
 
Kwanza sifa hawana wote wanafaa kutumikishwa kama wanavyotumikishwa sasa pale chadema makao makuu mara kumwinda zitto mara kutoa matamko ya uzushi kwenye jamii uongozi hawauwezi.

Mkuu una hati miliki ya thread? Mbona unachangia peke yako kila mara tena utumbo tu?
 
JF......!

Mimi kama mwanabadiliko napendekeza chama kiwateue makamanda John Mnyika na Benard Saanane warithi nafasi ya Zitto Kabwe ya ulezi wa CHADEMA kanda ya magharibi katika mikoa ya Tabora, Katavi na Kigoma.

Naamini kutokana na uwezo mahiri ya wanasiasa hao vijana machachari wasio na chembe yeyote ya unafiki, CHADEMA itaweza kuimarika zaidi ktk kanda hii hasa Tabora ambapo kumekuwa hakuna vuguvugu kubwa la mabadiliko ukilinganisha na mahali pengine nchini.

Shardcole@Tabora1

Mnyika ni mtu mdogo sana kazi inayomfaa ni hiyo ya kuwa kibaraka wa mbowe.
 
JF......!

Mimi kama mwanabadiliko napendekeza chama kiwateue makamanda John Mnyika na Benard Saanane warithi nafasi ya Zitto Kabwe ya ulezi wa CHADEMA kanda ya magharibi katika mikoa ya Tabora, Katavi na Kigoma.

Naamini kutokana na uwezo mahiri ya wanasiasa hao vijana machachari wasio na chembe yeyote ya unafiki, CHADEMA itaweza kuimarika zaidi ktk kanda hii hasa Tabora ambapo kumekuwa hakuna vuguvugu kubwa la mabadiliko ukilinganisha na mahali pengine nchini.

Shardcole@Tabora1
Ben masifa,anakuambia Julius malema amemwandikia email na kumuambia katika afrika yeye na malema tu eti ndio vijana wenye vision afrika.
 
Wana sifa zote za kuwa viongozi wa CHADEMA, kwanza ni wakristo, wanatokea Kilimanjaro na kubwa zaidi wanakubalika na Josephine Mushumbuzi na baba Lilian. Naunga mkono hoja mia kwa mia.
 
Back
Top Bottom