PENDEKEZO: Mlima Kilimanjaro uliopo EPZ Ubungo ungewekwa Julius Nyerere International Airport Terminal Three ingefaa?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
PENDEKEZO: Statue of the mount Kilimanjaro iliopo EPZ Ubungo ungewekwa pia Julius Nyerere International Airport Terminal Three lango kuu kukaribisha wageni ingefaa?

Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Mimi ninaona ingefaa kama ile statue ya Mlima Kilimanjaro iliyopo EPZ kama ingewekwa pia pale JNIA terminal 3 ili kuweza kuwakaribisha wageni na kuwaambia kuwa "this is the home of mount Kilimanjaro"

IMG_20190816_075950_015.jpg

IMG_20190816_075904_520.jpg

KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE.

VODACOM WAMEKWAPUA WAZO LANGU BILA RIDHAA.
 
Hahahahaaaaa. Noma sana mzee baba.

Mtaani njaa kali NSSF hamtaki kunipa pesa zangu
Nakuomba ukitka kunishawishi na njaa zako hebu nisalimie kwanza kwa salamu yetu na uwe na kadi alafu sema NSSF ya awamu ya tano inafanya vizuri kuliko awamu zote, Hapo utakuwa umeniweza yaan nakupandisha na cheo na pesa unapata ukitka ulinzi sio shida kuna nyumba pale mbweni kwenye chuo cha chekechea kuna walinzi kibao
 
Sawa mkuu
 
Nashauri Ingelitengenezwa zoo kubwa upande wa pili wa Airport ili iwe ni sehemu ya mapumziko kwa wageni na watalii wanaoingia au kutoka nchini.
Katika zoo hiyo ndimo viwekwe vivutio vya utalii vya mfano na huduma mbalimbali za kisasa.
 
Ukitengeneza zoo kutakuwa na sababu gani ya watalii kwenda mbugani???
 
Ukitengeneza zoo kutakuwa na sababu gani ya watalii kwenda mbugani???
Mkuu nimesema mfano wa vivutio vyetu halisi,kama ambavyo ulivyoshauri kuhusu Mt. Kilimanjaro.
Kwa kuwa tuna sehemu nyingi za utalii ni vyema wazo lako likatanuliwa nje kidogo ya /pembezoni mwa JKNIA ili kutengeneza vivutio vya mfano wa hali halisi iliyopo kwenye hifadhi zetu.
 
Back
Top Bottom