Pendekezo: Mjane wa Mtoi agombee kuziba pengo la mumewe

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Kwanza napenda kutoa pole nyingi sana kwa familia ya marehemu mohamed mtoi wakiwemo ndugu zake wa karibu na kuwashukuru kwa kutoa mtoto wao kuitumikia chadema kwa moyo uliotukuka.
Pili ningependa kumuomba mjane wa mtoi ambaye najua atakuwa alifanya kazi na mumewe bega kwa bega ili ashinde basi ajitoe mhanga kwa niaba ya mumewe kugombania kiti hicho ili kuthamini mchango wa mumewe wa kuwatumikia watu wa lushoto. ndoto za mumewe na legacy yake itakuwa na kitu muhimu kuakikisha zinafikia kama vile mume wake alivyokuwa amepanga.
 
ukawa tamaa zimewazidi fedha za lowasa hazija kutosheni, muacheni mama wa watu amuombolezee mumewe na amalize eda kwanza, duu!
 
ukawa tamaa zimewazidi fedha za lowasa hazija kutosheni, muacheni mama wa watu amuombolezee mumewe na amalize eda kwanza, duu!
hakuna mtu ambaye amejitoa kwa ajili ya kutafuta ukombozi wa Lushoto kama mumewe na familia imejitoa sana kwani imepoteza baba ambaye ni tegemeo la nyumba kwahiyo mtu pekee anaijua legacy na ndoto ya marehemu ni mkewe na ndiye anayeweza kuendeleza mapambano kwa jili kutimiza ndoto na legacy ya mumewe ya kuwatumikia watu wa Lushoto
 
Siafiki hili pendekezo,Ukawa sio CCM ambao baba akifa basi rambirambi inakuwa ni kumpa mwanaye.eg Kalenga kwa Mgimwa na Arumeru kwa Sumari
 
Kwanza napenda kutoa pole nyingi sana kwa familia ya marehemu mohamed mtoi wakiwemo ndugu zake wa karibu na kuwashukuru kwa kutoa mtoto wao kuitumikia chadema kwa moyo uliotukuka.
Pili ningependa kumuomba mjane wa mtoi ambaye najua atakuwa alifanya kazi na mumewe bega kwa bega ili ashinde basi ajitoe mhanga kwa niaba ya mumewe kugombania kiti hicho ili kuthamini mchango wa mumewe wa kuwatumikia watu wa lushoto. ndoto za mumewe na legacy yake itakuwa na kitu muhimu kuakikisha zinafikia kama vile mume wake alivyokuwa amepanga.

Mkuu Politiki nikupongeze kwa kufikiria hivyo, nilipata wazo la namna hiyo lakini nika'mute kwasababu nilikuwa sijui uwezo wa mkewe ukoje. Ingefaa sana na kupendeza sana.
 
ukawa tamaa zimewazidi fedha za lowasa hazija kutosheni, muacheni mama wa watu amuombolezee mumewe na amalize eda kwanza, duu!

Umejiunga JF kwa agenda maalum tu 'LOWASA' waambie waliokutuma nao wajiunge kumchafua zaidi ila tutamchagua na atakuwa Rais wa wote, hata mnaotumiwa kumtukana!
 
Urambo! Samwel 6 na sasa Magreth 6 mmm R I P MTOI

issue mbili tofauti Sitta amekuwa mbunge kwa miaka 30 hakuna alichokifanya, Mtoi alikuwa na ndoto na mipango kibao juu ya kuwatumikia wana lushoto na mkewe naamni ndiye pekee anayeweza kuendeleza ndoto hizo kwa ajili ya legacy ya mumewe na wana lushoto
 
Mjane wa Mtoi ndo pekee anayeweza kuendeleza Lushoto?????

Siasa za Chadema zimefikia hapa jamani?
Siku rais akifa watu watataka tuongozwe na mkewe. That is a big bullshit.

Chadema haina mtu anayefaa kugombea Lushoto?
Ukawa je? Au Chadema hawataki mgombea nje ya Chadema?

Sijawahi msikia mke wa Mtoi katika medani za siasa (mie sio mkazi wa Lushoto) , swala ni kuwa kama huyo mama ni mwanasiasa na mwenyew uwezo na nia ya dhati ya kugombea basi aingizwe kwenye mchujo shirikishi akishinda haki yake..
Sio ateuliwe kwa kigezo cha ujane.

Nimeona watu wametaja kina Mgimwa na Sumari...leo mnawafanya ccm mfano wa kuigwa????? Grow up.
 
Akili za bavicha hizo.halafu chadema haina historia ya kuenzi makamanda afadhali mtoi kabahatika kuzikwa na mbowe.chadema ukifa unatupiwa kwa familia yako mtajijua wenyewe.Mfano kamanda wangwe.kamanda shida hata hospitali hakuna kiongozi aliekwenda kumjulia hali.Msibani alikwenda mdee tu tena kwa kua wametoka mbali na zitto.chadema hawana utu linapokuja suala la msiba
 
Umesahau uwongo wa kupigwa mawe viongozi wa chadema kwenye msiba wa Wangwe.ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Namfahamu sana mjane wa mtoi. Nafamu walisoma wote na mumewe bachelor. Wakati mtoi anaanza harakati chuoni wife alikwepo na alimpa sapot za kutosha. Kwa uhakika najua ni familia ya wanabafiliko
 
Kama mama Mtoi ni mwana harakati huu ndo wakati mzuri wa kushika kijiti. Kisiasa kura za huruma ni nyingi kuliko uwezo wa kujieleza.
Najua hata mimi mwaka huu mtanipa kura nyingi kwa huruma kuliko mbwembwe za wenzangu.
Rip Mtoi
 
kamanda Warue salamu mkuu
mkewe anaitwa nani na resume yake ikoje kwa mujibu wa maelezo yako inaonekana kwamba ana bachelor degree na je kwa upande wa harakati yukoje? tunaomba kama una maelezo ya ziada uyaweke hapa please. jamani hatujasema kuwa huyu mama apewe tu hiyo nafasi NO NO NO atagombania kama wengine na atayeshinda basi apewe binafsi nitakuwa nyuma kama atapenda kugombea kwani ninataka atimize ndoto ya mumewe.
 
Back
Top Bottom