Pendekezo: Mh.Rais amteue Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Status
Not open for further replies.

mbeyaman

Member
Sep 28, 2013
97
0
Ninapendekeza Mh.Rais Jakaya Kikwete amteue Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.Hii kutokana na utendaji wa kazi wa Mwigulu Nchemba.Mbunge huyu kijana nafasi hii ya uwaziri inamfaa sana.Atashirikiana vizuri na IGP mpya,mh.Ernest Mangu kupambana na uhalifu na kuzidi kuleta amani na utulivu nchini.Ninaamini wizara ya Mambo ya Ndani itakuwa imempata waziri mchapakazi na hata maandamano ya vyama vya siasa yasiyo na tija yatadhibitiwa chini ya waziri Mwigulu Nchemba.Mwigulu anafaa sana kuongoza wizara hii hasa kipindi hiki tukielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwk huu na uchaguzi mkuu mwakani 2015.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom