Stories of Change - 2021 Competition

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
994
1,507
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia mfumo wa LUKU,ambapo mtu anaweza kufanya manunuzi kupitia simu yake ya mkononi,na mifumo mingine,hii ni hatua nzuri sana,lakini bado kuna changamoto ndani yake ambazo nitaziainisha hapa,na kuweka mapendekezo ya Mabadiliko katika mfumo huo na maboresho yake.

1) MFUMO TUTUMIAO SASA

Nyumba nyingi kwa sasa,huduma mbalimbali na hata viwanda vimefungwa mita za "LUKU" ambazo huendesha matumizi ya umeme, mita hizi huja mbili kwa kila mteja ambazo ni mita kuu inayofungwa juu ukutani ndani au nje na huwa imefungwa kwa Siri ndani ya boksi na nyingine ndogo ya mkononi ambayo huitwa "REMOTE METER" changamoto kubwa katika mita hizi huanzia pale mita ndogo inapoharibika, huchukua kipindi cha mpaka mwezi mmoja kukamilisha marekebisho pale mita HII ndogo inapo haribika hivyo wateja kukosa huduma za umeme na kusitisha shughulii zao hasa katika maeneo ya biashara na pia hugharimu takribani 7,800/= kuipata nyingine.

1.1) CHANGAMOTO ZA MFUMO HUU

Mfumo huu unakumbwa na changamoto katika sehemu wa mbili;
a) Kuharibika kwa mita ndogo(remote meter) ambalo ni tatizo kwa wengi.
b) Mlolongo wa kufanya manunuzi ya umeme na kuingiza "token" kwenye mita

Mita ndogo kuharibika limekuwa tatizo linalojitokeza kwa wateja wengi na huchukua muda mrefu fanya marekebisho hivyo mteja kukosa huduma.Pia zoezi la kununua umeme mpaka kuweka limekuwa refu, mteja analazimika kununua umeme akipata "token" ni lazima akaingize kodi kwenye mita juu ya nyumba nje au kwa remote meter, wengine hulazimika kutoka nje usiku ili waweke umeme kitu ambacho ni hatari kwa wengi.

1.2) MAPENDEKEZO KUZIKABILI CHANGAMOTO

Namna pekee ya kukabiliana na mfumo huu,ni kwa TANESCO kuboresha mfumo wa malipo ambapo,kipengele cha kuweka token code kwenye mita kiondolewe,mfumo wa LUKU ubadirishwe ambapo mteja atanunuaa umeme kidigitali akisha kukamilisha malipo nakutumiwa token code,umeme unawaka pasipo kwenda kuingiza code kwenye mita,HII itapunguza kuwafuata Tanesco kumbadirishia mteja remote mita Mara kwa Mara,na kupunguza mlolongo katika zoezi Zima,pia itaondoa gharama za manunuzi ya remote mita kwa wateja na Tanesco wenyewe.Pia Tanesco itengeneze application maalumu ambapo mteja anayetumia simu janja ataweza kufanya manunuzi kupitia app hiyo,na iweze kufanya kazi online na offline.

2) MFUMO MPYA PENDEKEZWA WA LUKU

Screenshot 2021-07-18 at 13.21.05.png

Mfumo tutumiao sasa unahitaji mita maalumu ya LUKU ambayo huja mbili mbili,serikali kupitia Shirima lake la umeme inalazimika kutumia gharama kubwa kuagiza mita hizo kutoka nje ambayo gharama kwa kila mita haliwezi ulinganishwa na gharama ya mteja anayotumia kuingiza umeme.

Napendekeza mfumo mpya ambao hautahitaji mita ya LUKU badala yake kifaa takachoitwa "CONNECTOR"ama kwa jina lolote, katika hiki kifaa kuta kuwepo na matundu ya kuingizia umeme(kutoka kwenye nguzo) na kutolea umeme(kuingia ndani), kulia kwa kifaa hiki kuta kuwepo na tundu litakaloitwa "PORT" ambapo kutakuwa na kifaa kingine "Feedback chip" ambacho itachomekwa hapo,na ndicho kitakuwa kikikamilisha mawasiliano Kati ya mteja na mfumo wa Tanesco na kitakuwa kidogo Kama flash disc au wireless sensor ya mouse au keyboard ya compyuta, mfumo wa LUKU ndio utakao ongoza kila kitu, na mteja ataweza kununua umeme kupitia app katika simu janja yake online au offline,pia mtu ataweza kununua kupitia simu ya kawaida kwa mfumo wa simu pesa au benki,mtu yeyote ataweza kuwa na app hiyo ambapo akaunti itakuwa ya mmiliki wa nyumba au kiwanda n.k,

Feedback chip itakuwa na "code" itakayomtambulisha mteja na mteja ili akamilishe manunuzi popote ataingiza hiyo "code" akimaliza umeme unawaka Chapu hata Kama nyumba IPO Gambushi mnunuaji yupo Mbozi.

Mteja ataweza kuona kiasi cha unit alizo nazo kwa kupitia simu yake kwa namba maalumu au app yake ambayo ukiifungua tu ioneshe power unit zilizopo.

Mfumo huu utapunguza gharama za manunuzi ya mita za LUKU kwa serikali,itaondoa suala la mteja KUKOSA umeme kwa muda flani kisa mita,itapunguza mlolongo wa kurecharge umeme,mteja ataweza kununua umeme popote alipo na ukawaka nyumbani bila tabu,litaokoa muda.

Huu ni ulimwengu wa sayansi na teknolojia, twende na Mabadiliko, tuwe wabunifu.
 
Kwa Ushauri wangu Simple is Always better hata kuharibika / kukorofisha inakuwa shida....

Kwahio hizo mita zenye Remote waziondoe kabisa sokoni (hazina maana); turudi kwenye kujaza manually)

Mfumo ukiwa simple ni vigumu kuzengua (haya mambo ya Tanesco kununua Luku ukapata kesho kutwa token) ukiwaongezea codes zaidi utajikuta ukishanunua token unapata keshokutwa na umeme kuingia kwenye mita mwaka kesho... (many thinks can and always go wrong) Pia mtu kupata Token Receipts ni Ushahidi kwamba alinunua kama wanashare Mita au anahitaji kumbukumbu
 
kinachohitajika ni teknolojia pevu,uletwe mfumo ambao umeundwa na watu waliotulizana akilini
 
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia mfumo wa LUKU,ambapo mtu anaweza kufanya manunuzi kupitia simu yake ya mkononi,na mifumo mingine,hii ni hatua nzuri sana,lakini bado kuna changamoto ndani yake ambazo nitaziainisha hapa,na kuweka mapendekezo ya Mabadiliko katika mfumo huo na maboresho yake.

1) MFUMO TUTUMIAO SASA

Nyumba nyingi kwa sasa,huduma mbalimbali na hata viwanda vimefungwa mita za "LUKU" ambazo huendesha matumizi ya umeme, mita hizi huja mbili kwa kila mteja ambazo ni mita kuu inayofungwa juu ukutani ndani au nje na huwa imefungwa kwa Siri ndani ya boksi na nyingine ndogo ya mkononi ambayo huitwa "REMOTE METER" changamoto kubwa katika mita hizi huanzia pale mita ndogo inapoharibika, huchukua kipindi cha mpaka mwezi mmoja kukamilisha marekebisho pale mita HII ndogo inapo haribika hivyo wateja kukosa huduma za umeme na kusitisha shughulii zao hasa katika maeneo ya biashara na pia hugharimu takribani 7,800/= kuipata nyingine.

1.1) CHANGAMOTO ZA MFUMO HUU

Mfumo huu unakumbwa na changamoto katika sehemu wa mbili;
a) Kuharibika kwa mita ndogo(remote meter) ambalo ni tatizo kwa wengi.
b) Mlolongo wa kufanya manunuzi ya umeme na kuingiza "token" kwenye mita

Mita ndogo kuharibika limekuwa tatizo linalojitokeza kwa wateja wengi na huchukua muda mrefu fanya marekebisho hivyo mteja kukosa huduma.Pia zoezi la kununua umeme mpaka kuweka limekuwa refu, mteja analazimika kununua umeme akipata "token" ni lazima akaingize kodi kwenye mita juu ya nyumba nje au kwa remote meter, wengine hulazimika kutoka nje usiku ili waweke umeme kitu ambacho ni hatari kwa wengi.

1.2) MAPENDEKEZO KUZIKABILI CHANGAMOTO

Namna pekee ya kukabiliana na mfumo huu,ni kwa TANESCO kuboresha mfumo wa malipo ambapo,kipengele cha kuweka token code kwenye mita kiondolewe,mfumo wa LUKU ubadirishwe ambapo mteja atanunuaa umeme kidigitali akisha kukamilisha malipo nakutumiwa token code,umeme unawaka pasipo kwenda kuingiza code kwenye mita,HII itapunguza kuwafuata Tanesco kumbadirishia mteja remote mita Mara kwa Mara,na kupunguza mlolongo katika zoezi Zima,pia itaondoa gharama za manunuzi ya remote mita kwa wateja na Tanesco wenyewe.Pia Tanesco itengeneze application maalumu ambapo mteja anayetumia simu janja ataweza kufanya manunuzi kupitia app hiyo,na iweze kufanya kazi online na offline.

2) MFUMO MPYA PENDEKEZWA WA LUKU

View attachment 1858178

Mfumo tutumiao sasa unahitaji mita maalumu ya LUKU ambayo huja mbili mbili,serikali kupitia Shirima lake la umeme inalazimika kutumia gharama kubwa kuagiza mita hizo kutoka nje ambayo gharama kwa kila mita haliwezi ulinganishwa na gharama ya mteja anayotumia kuingiza umeme.

Napendekeza mfumo mpya ambao hautahitaji mita ya LUKU badala yake kifaa takachoitwa "CONNECTOR"ama kwa jina lolote, katika hiki kifaa kuta kuwepo na matundu ya kuingizia umeme(kutoka kwenye nguzo) na kutolea umeme(kuingia ndani), kulia kwa kifaa hiki kuta kuwepo na tundu litakaloitwa "PORT" ambapo kutakuwa na kifaa kingine "Feedback chip" ambacho itachomekwa hapo,na ndicho kitakuwa kikikamilisha mawasiliano Kati ya mteja na mfumo wa Tanesco na kitakuwa kidogo Kama flash disc au wireless sensor ya mouse au keyboard ya compyuta, mfumo wa LUKU ndio utakao ongoza kila kitu, na mteja ataweza kununua umeme kupitia app katika simu janja yake online au offline,pia mtu ataweza kununua kupitia simu ya kawaida kwa mfumo wa simu pesa au benki,mtu yeyote ataweza kuwa na app hiyo ambapo akaunti itakuwa ya mmiliki wa nyumba au kiwanda n.k,

Feedback chip itakuwa na "code" itakayomtambulisha mteja na mteja ili akamilishe manunuzi popote ataingiza hiyo "code" akimaliza umeme unawaka Chapu hata Kama nyumba IPO Gambushi mnunuaji yupo Mbozi.

Mteja ataweza kuona kiasi cha unit alizo nazo kwa kupitia simu yake kwa namba maalumu au app yake ambayo ukiifungua tu ioneshe power unit zilizopo.

Mfumo huu utapunguza gharama za manunuzi ya mita za LUKU kwa serikali,itaondoa suala la mteja KUKOSA umeme kwa muda flani kisa mita,itapunguza mlolongo wa kurecharge umeme,mteja ataweza kununua umeme popote alipo na ukawaka nyumbani bila tabu,litaokoa muda.

Huu ni ulimwengu wa sayansi na teknolojia, twende na Mabadiliko, tuwe wabunifu.
 
Mkuu Nathaniel, binafi kwanza nikupongeze kwa wazo zuri sana na mapendekezo yako. Ukweli nilishatoa wazo la namna hiyo kwa Tanesco, kupitia Mkoa wa Ki-Tanesco lakini pia kupitia media mbalimbali kama hizi, lakini zaidi ya maoni nimeshuhudia kwenye maonyesho ya sabasaba mwaka 2020 nimeshiriki very briefly na banda nililoingia lilikuwa la VETA nilikutana na kijana mmoja ambae tayari ameshachukua hatua na ametengeneza mfumo huo na demo amefanya mara kadhaa kuonyesha hilo linawezekana. Na nilivyo muuliza kama ameshafanya juhudi kuwafikia Tanesco na kuona namna ya kuboresha hilo, alinihakikishia kisha fanya hivyo pamoja na wenzake. Hivyo hili ni jambo rahisi mno kuweza kufanya, lakini mashaka katika hili, huenda wapo wanaonufaika na utaratibu huu ambao kimsingi hauna ufanisi sana.
Let's hope for the good, bila shaka kwa kuendelea kutoa maoni kama haya ipo siku hili litawezekana.
Hongera sana.
 
Nadhani,inahitajika nguvu zaidi kulifanya liwe
 
Hii nzuri..naomba namba zake huyo kijana wa VETA
 
huenda wapo wanaonufaika na utaratibu huu ambao kimsingi hauna ufanisi sana
hili ndio jawabu kwanini iyo mifumo ya ki smart haitatekelezwa,

hii ya kimanual/kianalojia, ndiyo njia pekee za kipigaji, ina mianya ya 'udokozi' bila kuacha trace yoyote, plus 10%

utapeleka idea yako pale HQ, utazungushwa tu uku na kule, wanachukua makaratasi yako wanaweka kwa dustbin

ushawaijiuliza izo 'smart energy meter' za umeme hazipo uko wanaponunua (kule Baobab energy systems na kampuni zingine za kichina ) ?

jawabu ni kwamba zipo , ila Tanesco wame 'nga'nga'na' na izo za ki 'analojia', yeah kwa 'maslahi ya upigaji' na 10% za kutosha

the same kina apply kwa Dawasco
 
Tunataka Mita ziwe kama ving'amuzi ukilipia kifurushi moja Kwa moja unapata connection ya Chanel
 
Sio tu unataka, soma uvumbue huo mfumo…. unataka uletewe na nani kutoka wapi ambako mfumo huo upo?
 
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia mfumo wa LUKU,ambapo mtu anaweza kufanya manunuzi kupitia simu yake ya mkononi,na mifumo mingine,hii ni hatua nzuri sana,lakini bado kuna changamoto ndani yake ambazo nitaziainisha hapa,na kuweka mapendekezo ya Mabadiliko katika mfumo huo na maboresho yake.

1) MFUMO TUTUMIAO SASA

Nyumba nyingi kwa sasa,huduma mbalimbali na hata viwanda vimefungwa mita za "LUKU" ambazo huendesha matumizi ya umeme, mita hizi huja mbili kwa kila mteja ambazo ni mita kuu inayofungwa juu ukutani ndani au nje na huwa imefungwa kwa Siri ndani ya boksi na nyingine ndogo ya mkononi ambayo huitwa "REMOTE METER" changamoto kubwa katika mita hizi huanzia pale mita ndogo inapoharibika, huchukua kipindi cha mpaka mwezi mmoja kukamilisha marekebisho pale mita HII ndogo inapo haribika hivyo wateja kukosa huduma za umeme na kusitisha shughulii zao hasa katika maeneo ya biashara na pia hugharimu takribani 7,800/= kuipata nyingine.

1.1) CHANGAMOTO ZA MFUMO HUU

Mfumo huu unakumbwa na changamoto katika sehemu wa mbili;
a) Kuharibika kwa mita ndogo(remote meter) ambalo ni tatizo kwa wengi.
b) Mlolongo wa kufanya manunuzi ya umeme na kuingiza "token" kwenye mita

Mita ndogo kuharibika limekuwa tatizo linalojitokeza kwa wateja wengi na huchukua muda mrefu fanya marekebisho hivyo mteja kukosa huduma.Pia zoezi la kununua umeme mpaka kuweka limekuwa refu, mteja analazimika kununua umeme akipata "token" ni lazima akaingize kodi kwenye mita juu ya nyumba nje au kwa remote meter, wengine hulazimika kutoka nje usiku ili waweke umeme kitu ambacho ni hatari kwa wengi.

1.2) MAPENDEKEZO KUZIKABILI CHANGAMOTO

Namna pekee ya kukabiliana na mfumo huu,ni kwa TANESCO kuboresha mfumo wa malipo ambapo,kipengele cha kuweka token code kwenye mita kiondolewe,mfumo wa LUKU ubadirishwe ambapo mteja atanunuaa umeme kidigitali akisha kukamilisha malipo nakutumiwa token code,umeme unawaka pasipo kwenda kuingiza code kwenye mita,HII itapunguza kuwafuata Tanesco kumbadirishia mteja remote mita Mara kwa Mara,na kupunguza mlolongo katika zoezi Zima,pia itaondoa gharama za manunuzi ya remote mita kwa wateja na Tanesco wenyewe.Pia Tanesco itengeneze application maalumu ambapo mteja anayetumia simu janja ataweza kufanya manunuzi kupitia app hiyo,na iweze kufanya kazi online na offline.

2) MFUMO MPYA PENDEKEZWA WA LUKU

View attachment 1858178

Mfumo tutumiao sasa unahitaji mita maalumu ya LUKU ambayo huja mbili mbili,serikali kupitia Shirima lake la umeme inalazimika kutumia gharama kubwa kuagiza mita hizo kutoka nje ambayo gharama kwa kila mita haliwezi ulinganishwa na gharama ya mteja anayotumia kuingiza umeme.

Napendekeza mfumo mpya ambao hautahitaji mita ya LUKU badala yake kifaa takachoitwa "CONNECTOR"ama kwa jina lolote, katika hiki kifaa kuta kuwepo na matundu ya kuingizia umeme(kutoka kwenye nguzo) na kutolea umeme(kuingia ndani), kulia kwa kifaa hiki kuta kuwepo na tundu litakaloitwa "PORT" ambapo kutakuwa na kifaa kingine "Feedback chip" ambacho itachomekwa hapo,na ndicho kitakuwa kikikamilisha mawasiliano Kati ya mteja na mfumo wa Tanesco na kitakuwa kidogo Kama flash disc au wireless sensor ya mouse au keyboard ya compyuta, mfumo wa LUKU ndio utakao ongoza kila kitu, na mteja ataweza kununua umeme kupitia app katika simu janja yake online au offline,pia mtu ataweza kununua kupitia simu ya kawaida kwa mfumo wa simu pesa au benki,mtu yeyote ataweza kuwa na app hiyo ambapo akaunti itakuwa ya mmiliki wa nyumba au kiwanda n.k,

Feedback chip itakuwa na "code" itakayomtambulisha mteja na mteja ili akamilishe manunuzi popote ataingiza hiyo "code" akimaliza umeme unawaka Chapu hata Kama nyumba IPO Gambushi mnunuaji yupo Mbozi.

Mteja ataweza kuona kiasi cha unit alizo nazo kwa kupitia simu yake kwa namba maalumu au app yake ambayo ukiifungua tu ioneshe power unit zilizopo.

Mfumo huu utapunguza gharama za manunuzi ya mita za LUKU kwa serikali,itaondoa suala la mteja KUKOSA umeme kwa muda flani kisa mita,itapunguza mlolongo wa kurecharge umeme,mteja ataweza kununua umeme popote alipo na ukawaka nyumbani bila tabu,litaokoa muda.

Huu ni ulimwengu wa sayansi na teknolojia, twende na Mabadiliko, tuwe wabunifu.
WAZO Poa sana. January anaweza penda hii kitu. Jaribu kumfikishia
 
Back
Top Bottom