Pendekezo: Mbunge au Diwani akiachia ngazi,chama kilekile kiteue mbunge/Diwani mwingine

Lakini mkuu huoni kama itampa majaribu makubwa mwenyekiti,akipata mchepuko anakununua au kukufukuza tu ili ampe mwingine. Hii bora iratibiwe NEC kabisa,ujinga uishe.kabla hujajiuzuru ujijue tu kama umeua bendi.
Mbunge aliyechaguliwa hafukuzwi kiholela na mwenyekiti. Hiyo ya kuchagua wajiwekee utaratibu ambapo mwenyekiti hatatumia madaraka vibaya.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom